Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Sio cdm ya Lisu, hiyo ilikuwa ya dalali Mbowe.Uongo kwa nini walimchukua Lowasa nq Sumaye nk kutoka CCM 2015
Mnafiki mkubwa Heche na ndio walimuwezessha kuingia bungeni
Sio cdm ya Lisu, hiyo ilikuwa ya dalali Mbowe.Uongo kwa nini walimchukua Lowasa nq Sumaye nk kutoka CCM 2015
Mnafiki mkubwa Heche na ndio walimuwezessha kuingia bungeni
Alikuwa dalali mzuri kama aliweza kumwingiza Lisu na Heche ubunge hadi leo wanatamba kuwa waliwahi kuwa wabunge kwenye CV zao basi Mbowe alikuwa dalali mzuri.kuliko Lisu na Heche wasio madalali ambao hawana uwezo wa kuingiza hata diwani tu uchaguzi wa mwaka huuSio cdm ya Lisu, hiyo ilikuwa ya dalali Mbowe.
Mbowe ana kura ngapi hadi awaingize kwenye ubunge? Ama hujui unaongea nini? Lisu na Heche hawahitaji kushiriki kwenye uchaguzi wa kishenzi wakisubiri hisani ya majizi ya ccm.Alikuwa dalali mzuri kama aliweza kumwingiza Lisu na Heche ubunge hadi leo wanatamba kuwa waliwahi kuwa wabunge kwenye CV zao basi Mbowe alikuwa dalali mzuri.kuliko Lisu na Heche wasio madalali ambao hawana uwezo wa kuingiza hata diwani tu uchaguzi wa mwaka huu
Alikuwa dalali mzuri kama aliweza kumwingiza Lisu na Heche ubunge hadi leo wanatamba kuwa waliwahi kuwa wabunge kwenye CV zao basi Mbowe alikuwa dalali mzuri.kuliko Lisu na Heche wasio madalali ambao hawana uwezo wa kuingiza hata diwani tu uchaguzi wa mwaka huu