Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wakati alipokuwa Bungeni mishahara ya Wabunge ilikuwa Tsh. Milioni 4 (take home) na nyongeza ya Posho ya Jimbo Tsh. Milioni 8 kwa mwezi lakini kwasasa jumla Mbunge analipwa zaidi ya Tsh. Milioni 18 kila mwezi na ndio maana hawataki kuweka wazi kiasi hicho kwasababu Wananchi wata ambao ndio wapiga kura na waajiri wao watajua ukweli na kuhoji.