Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
Ahahahahaha! Wakati yeye John Heche anaramba huo mshahara na marupurupu HAKUWAHI kusema. Leo hayupo anajidai kusema eti kwanini hawasemi. Watu kama Hawa "wakipotea" hakuna hasara kwa Taifa!Enzi zao wanaila mbona hawakuikataa
Huyu Heche ana mambo ya kihuniπEnzi zao wanaila mbona hawakuikataa
Ila watu hua mmekosa akili.Ahahahahaha! Wakati yeye John Heche anaramba huo mshahara na marupurupu HAKUWAHI kusema. Leo hayupo anajidai kusema eti kwanini hawasemi. Watu kama Hawa "wakipotea" hakuna hasara kwa Taifa!
Hapana mkuu, aliwahi zungumzia hili swala la mishahara na posho za wabunge bungeni.... (Nanukuu moja ya kauli yake kwenye dk 10 za spika,Ahahahahaha! Wakati yeye John Heche anaramba huo mshahara na marupurupu HAKUWAHI kusema. Leo hayupo anajidai kusema eti kwanini hawasemi. Watu kama Hawa "wakipotea" hakuna hasara kwa Taifa!
Unahisi umejibu nilichoeleza? Kama umejibu, basi poa. Ahsante!ππππ!Hapana mkuu, aliwahi zungumzia hili swala la mishahara na posho za wabunge bungeni.... (Nanukuu moja ya kauli yake kwenye dk 10 za spika,
"Kama mnataka kuwaaminisha wananchi kuishi maisha magumu ndio uzalendo basi huo uzalendo anzeni kuuonesha nyie wabunge"
Katika mchango wake kuhusu utetezi wa ajira kwa vijana na maisha Bora ulimlenga moja kwa moja Waziri Mpangoππ
Ambapo alishindwa kutoa majibu akabaki anatetemeka bungeni, Asante!!
No reform no election πΆ
Wewe unazo? Hongera!ππππ!!Ila watu hua mmekosa akili.
Mnafiki mkuda tu huyoHapana mkuu, aliwahi zungumzia hili swala la mishahara na posho za wabunge bungeni.... (Nanukuu moja ya kauli yake kwenye dk 10 za spika,