Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Asiye na akili atawasikiliza, mwenye kufiri na kuchanganua mambo atakataa maneno yakoMakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi.
Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Heche ametoa kauli hiyo siku moja baada ya waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kutangaza kukihama chama hicho wakidai hakifuati katiba yao na kuna ubaguzi.
Walioondoka ni waliokuwa naibu katibu mkuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano, John Mrema, katibu wa sekretarieti, Julius Mwita na Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake (Bawacha), Catherine Ruge.
View attachment 3328122
Kuna mtu akutukana upande wowote?Asiye na akili atawasikiliza, mwenye kufiri na kuchanganua mambo atakataa maneno yako
Why? Mlivyofanya kampeni za kumtukana, kumdhihaki, kumsingizia, kumbagaza Mbowe sisis tulijua mwisho wa uropokaji huo utakuwa huu!
It was as if you were waging a war with Mbowe!
Wamekufa na tai zao shingoni waking'ang'ania posho za wake zaoHao hawakuwa wapinzani bali wazee wa fursa.
Waliingiza wake zao kwenye genge la covid19 ili waendelee kulamba asali
Mrema alishafukuzwa CHADEMAHeche kamatia hapo hapo mpaka wapiga deal wote waondoke CHADEMA.
Hawajaisha. Kenge walikuwa wengi sana chini ya MboweMrema alishafukuzwa CHADEMA
sasa ndo mumfukuze?John mrema hajawahi kufana kazi yyte nje ya chadema