Huyo mrema ni butu kuliko mundu wa kinangolo.Mtu kama John Mrema sijui wapi atakako kwenda atapewa cheo! Maana amebebwa sana na Mwenyekiti aliyepita.
Huko Amerika Trump aliwaburuza Sana wanachama wa Republicans ila walisusia tu kufanya nae kazi hadi wengine wakajiuzulu. Sasa wenzetu motive yao haioneshi kama wamekomaa kisiasa bali kuhitaji vyeo tu.Asiye na akili atawasikiliza, mwenye kufiri na kuchanganua mambo atakataa maneno yako
Why? Mlivyofanya kampeni za kumtukana, kumdhihaki, kumsingizia, kumbagaza Mbowe sisis tulijua mwisho wa uropokaji huo utakuwa huu!
It was as if you were waging a war with Mbowe!
Zile zilikuwa ni kampeni hata Lissu alipopolewa sana.Asiye na akili atawasikiliza, mwenye kufiri na kuchanganua mambo atakataa maneno yako
Why? Mlivyofanya kampeni za kumtukana, kumdhihaki, kumsingizia, kumbagaza Mbowe sisis tulijua mwisho wa uropokaji huo utakuwa huu!
It was as if you were waging a war with Mbowe!
Unaongea kama headless chicken, huna ulijualo. Mwenye akili tumamu hawezi shiriki huo uchaguzi kwa sheri zile zile alizofanyiwa nazo hujuma. Labda Tz watu wake wote wangekuwa kama wewe au Lucas Mwashambwani muhimu zaid siku ya uchaguzi matakatifu malofa machache na masusaji chaguzi yakakaa nyumbani ili hatimae mamilioni ya wananchi na waTanzania wote kwa ujumla washiriki uchaguzi Mkuu kwa Amani π
ndugu watakatifu malofa,Unaongea kama headless chicken, huna ulijualo. Mwenye akili tumamu hawezi shiriki huo uchaguzi kwa sheri zile zile alizofanyiwa nazo hujuma. Labda Tz watu wake wote wangekuwa kama wewe au Lucas Mwashambwa
Safi sana Heche shikilia hapo hapo.
Utapeli tulitaka ukome January 21 mwaka huu.
Tunataka wanamageuzi wa kweli sio matapeli wanaoangalia matumbo yao na kushirikiana na mkoloni mweusi.
Wananchi tutachangia mageuzi ya kweli bila kuona tatizo ila sio utapeli wa kina Mrema
Heche. Kama wameondoka kwa amani basi waacheni waende. Kwanza ilitakiwa kuwashukuru kwa sehemu yao waliyoifanya.
Kila binadamu anauhuru binafsi.
Sioni sababu ya kuendelea kupigana vijembe mkuu.
Mke ni mke unamhudumia kila kitu mwisho wa siku anakuacha na matusi juu et unakibamia.
Unajuuuliza ina maana alifata kibamia au kujenga familia?
Mchukueni nyie timu TUKATE GOGO NA MAMA... maana timu zenu na majina mengi sana...sasa ndo mumfukuze?
Analinganisha apples na machungwa. Kwani waliokuwa kwenye sekretariat sasa hawalipwi mshahara? G55 wameondoka baada ya kuona kuwa chama kinaelekea wasikokubaliana nacho. Hiyo ni haki yao. Hivi seriously kiongozi wa chama anatumbuliwa kupitia ujumbe wa WhatsApp? Kwa nini asione kuwa ni dharau kwake?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi.
Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Heche ametoa kauli hiyo siku moja baada ya waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kutangaza kukihama chama hicho wakidai hakifuati katiba yao na kuna ubaguzi.
Walioondoka ni waliokuwa naibu katibu mkuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano, John Mrema, katibu wa sekretarieti, Julius Mwita na Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake (Bawacha), Catherine Ruge.
View attachment 3328122
Na amethibitisha vipi kuwa walikuwa hawajatengwa na kuonewa? Sana Sana anaipa uhai ajenda ambayo ingejifia kirahisi.sidhani kama ni vijembe, wakati mwingine uongo inabidi ujibiwe ili ukweli ujulikane, wakikaa kimya kuna watu wataamini wanaonewa
Lofa ni wewe ambaye unaenda kushiriki kwenye mashindano ambayo una uhakika kabisa hutashinda sababu kubwa ikiwa ni bodi ya majaji kuwa na upendeleo na upande mmoja.huenda ni malofa wasio na maono wala malengo ndio pekee wanaweza kubaki au kusalia kwenye chama ambacho hakishiriki chaguzi wala kua na malengo ya kushika dola π
Wewe chawa wa mbogamboga huwezi kumuelewa HecheAnalinganisha apples na machungwa. Kwani waliokuwa kwenye sekretariat sasa hawalipwi mshahara? G55 wameondoka baada ya kuona kuwa chama kinaelekea wasikokubaliana nacho. Hiyo ni haki yao. Hivi seriously kiongozi wa chama anatumbuliwa kupitia ujumbe wa WhatsApp? Kwa nini asione kuwa ni dharau kwake?
G55 wanastahili pongezi kwa sababu kila kitu wameweka hadharani. Walipoona hawasikilizwi wakaamua kujitoa maana akufuzae sio lazima akuambìe toka. Heche anapaswa kutumia muda huu kuwaonyesha kuwa mtazamo wao haukuwa sahihi badala ya kuwasema majukwaani. Hawq ni watu ambao walikuwa pamoja kwa muda mrefu. At the minimum wangeheshimu uamuzi wao wa kujitoa na kuwatakia kila la kheri huko walikoenda maana Oktoba sio mbali. Tutaona nani alikuwa sahihi.
Amandla...
nani angechagua vibaka na matepeli wa siasa chadema gentleman?Lofa ni wewe ambaye unaenda kushiriki kwenye mashindano ambayo una uhakika kabisa hutashinda sababu kubwa ikiwa ni bodi ya majaji kuwa na upendeleo na upande mmoja.
huyo uliyemquote na huyo uliyemtag wote hao nimewaignore ili kuavoid toxic content wanazopost humuUnaongea kama headless chicken, huna ulijualo. Mwenye akili tumamu hawezi shiriki huo uchaguzi kwa sheri zile zile alizofanyiwa nazo hujuma. Labda Tz watu wake wote wangekuwa kama wewe au Lucas Mwashambwa
Mabadiliko ya uongozi ndiyo kufukuza Team Mbowe tena kwenye ngazi za tawi?Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi.
Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila mabadiliko hakuna uchaguzi.
Heche ametoa kauli hiyo siku moja baada ya waliokuwa wajumbe wa sekretarieti katika utawala wa mwenyekiti aliyepita Freeman Mbowe, kutangaza kukihama chama hicho wakidai hakifuati katiba yao na kuna ubaguzi.
Walioondoka ni waliokuwa naibu katibu mkuu, Benson Kigaila (Bara), Salumu Mwalimu (Zanzibar), Mkurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano, John Mrema, katibu wa sekretarieti, Julius Mwita na Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake (Bawacha), Catherine Ruge.
View attachment 3328122
Chadema wameshaweka wazi kuwa hawashiriki huo ujinga. Mimi nadhan hata wewe ungejikita zaidi kwenye kukisemea chama chako cha Ccm na washindani wake kama Chauma au Act kuelekea huo uchaguzi wenu kuliko kila siku unalialia na Chadema ambayo hishirikindugu watakatifu malofa,
kaeni kwenye chama chenu cha kitapeli huku vyama vya siasa19 nchini vikijiandaa kushiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa kihistoria October mwaka huu 2025.
hakuna haja ya mayowe wala makasiriko gentleman π
sasa kama ni hivyo,Chadema wameshaweka wazi kuwa hawashiriki huo ujinga. Mimi nadhan hata wewe ungejikita zaidi kwenye kukisemea chama chako cha Ccm na washindani wake kama Chauma au Act kuelekea huo uchaguzi wenu kuliko kila siku unalialia na Chadema ambayo hishiriki