PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Naona unaropokwa tu, Huyo Mbowe alitukanwa na nani?
Ukweli ulisemwa kwa uwazi na wanachama wanaujua.
Chama kwa sasa kimekuwa cha kitaifa na wachumia tumbo waliozoea kutafuna ruzuku sasa wanakimbia wenyewe.
 
sasa kama ni hivyo,
kulikoni wana bweka bweka tu kila kukicha na wanakimbiwa kila wakati kwajili ya hiyo nonsense?🐒
Yaani chadema itetereke kwa kukimbiwa na hao wala ruzuku?
Utakuwa na shida kichwani.
Bora mamluki wataka vyeo waondoke ubaki na wanachama wa kawaida ambao ndio wapiga kura.
 
Yaani chadema itetereke kwa kukimbiwa na hao wala ruzuku?
Utakuwa na shida kichwani.
Bora mamluki wataka vyeo waondoke ubaki na wanachama wa kawaida ambao ndio wapiga kura.
tone tone kidigitali ilipofeli ikabidi kibakuli kirudishwa, hiyo sio kutetereka gentleman au ni kuyumba?🤣
 
Makamu mwenyekiti John Heche ametoa majibu sahihi ya maswali yote nimememuelewa ashikilie hapo hapo.
 
sasa kama ni hivyo,
kulikoni wana bweka bweka tu kila kukicha na wanakimbiwa kila wakati kwajili ya hiyo nonsense?🐒
Sasa wewe unaangaika na Chadema kwa sababu ipi? Hawashikiriki kwenye uchaguzi wenu, sasa wewe unawashwa wapi?
 
Sasa wewe unaangaika na Chadema kwa sababu ipi? Hawashikiriki kwenye uchaguzi wenu, sasa wewe unawashwa wapi?
mimi naeleza Ukweli tu na kusonga mbele gentleman,
mahangaiko pambaneni nayo nyie 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…