Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wawahi kuondoka kwenda vyama vingine,yani watu wafe na wawe vilema ili wewe huwe mbunge au diwani ni ubinafsi wa hali ya juu sana.Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM.
Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na mawasiliano yao ya whatsapp yamevuja.
View attachment 3292031
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mapindikizi yanashughulikiwa balaaHuyo Dogo wa sekretariet CDM aliyeenguliwa, ameudhalilisha ukoo wote wa Mzazi wake Mwita aliyekuwa mwalimu Mkuu Shule ya Msingi.
Mapandikizi yyote na magugu yangolewe, Ili nchi ikombolewe Tena.
Wewe ndo HECHE...This guy is Intelligent for Sure!
Naona CDM wamepata watu hasa achana na mpigaji yule......kutoka machame..hahaha..
CCM kama nawaona vile.....
Nami nasema yashughulikieni yote mpaka abaki Lissu peke yake! Dadeki!!Mapindikizi yanashughulikiwa balaa
SureNami nasema yashughulikieni yote mpaka abaki Lissu peke yake! Dadeki!!
Sure!Sure
Hahahaha..Ungejua....ungejiita fala kabla hujaitwa na mtu mwingineWewe ndo HECHE...