johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Jambo kubwa kwa wanachama na wapenzi wa CCM.Mkutano mkuu wa chama tawala ni jambo kubwa bwashee!
Umeona jibu lako hapo chini bwana mbatizaji?Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.
Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?
Maendeleo hayana vyama!
Hivi karibuni Chadema walifanya mkutano wao mkuu pale mlimani city, hakuhudhuria mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli wala katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ali ili haliwote walikua hapa nchini nawazima wa afya. Iweje ushangae kwa nini Mnyika hajahudhuri mkutano wa CCM?
Shibuda wa Tadea nimemuona!Kwani wa tadea na jahazi asilia uliwaona pale?
Tena?!Tundu lisu kapigwa risasi mkuu