John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

Hivi huu mkutano wa CCM ulikuwa mkutano mkuu wa chama cha siasa au mkutano mkuu wa maamuma!!!? Maana ukiwasikia Bashiru na mzee Mwinyi, utadhani genge la majuha yamekutana!!
 
kushabikia chadema kwa sasa kunahitaji sifa ya kuyumba kwa dishi 😃😃😃
 
Wangeenda huenda wangepata cha kujifunza, sisiem kutoenda mikutano ya Chadema ni sawa tu hakuna cha kujifunza huko, ila chadema wangejifunza.
Kumbuka ccm ni miongoni mwa vyama vya siaea imara duniani ni cha 53
 
Sawa, haya kanywe maji ukalale sasa

Ova
 
Hivi karibuni Chadema walifanya mkutano wao mkuu pale mlimani city, hakuhudhuria mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli wala katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ali ili haliwote walikua hapa nchini nawazima wa afya. Iweje ushangae kwa nini Mnyika hajahudhuri mkutano wa CCM?
Waliwakilishwa na ofisi a msajili wa vyama vya siasa
 
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyamnana
Mnyika ana akili zake timamu kama mimi ambaye hata kwenye TV sikuangalia wala Radio kusikiliza baada ya kusikia mkutano utaonyeshwa na kutangazwa mubashara sembuse kuhudhuria? Watafuta uteuzi kama wakina Mrema wa TLP na wengine wana sababu ya njaa kuhudhuria licha ya kujua tabia mikutano ya Chama hicho kutumika kudhalilisha wapinzani kufurahisha wanachama. Kwanza ilikuwa mkutano usio na maana kwa sababu aliyeomba kugombea ni mmoja tu na anajulikana na mwenza. I mmoja tu anajulikana wanachaguliwaje hawa na gharama zote hizo? WanaCCM tunajua ujinga wao hawaoni udhaifu huo wa Chama chao lakini wapinzani kuhudhuria mikutano ya hao kama huo inashangaza sana. Hongera Mnyika!
 
Ni jambo kubwa kwako na mumeo/mkeo kwa kuwa mnalipwa posho.
Mtu kama mm uniambie ni jambo kubwa wakati sifuatilii chochote wala sinufaiki na chochote na mkutano wenu.
Mkutano mkuu wa chama tawala ni jambo kubwa bwashee!
 
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama
Kwa chadema upinzani ni vita, chuki na uhasama!
 
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama
Hata mimi nisinge hudhudhuria kwa kuitwa wapinzani ni corona
 
Back
Top Bottom