John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

John John Mnyika kwanini hajashiriki mkutano mkuu wa chama Tawala yaani CCM?

Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama
Anaogopa kukamatwa. Maana angeonekana hapo tu wangesema anahamasisha maandamano! Bora ajikalie nyumbani tu!
 
Hivi karibuni Chadema walifanya mkutano wao mkuu pale mlimani city, hakuhudhuria mwenyekiti wa CCM ndugu Magufuli wala katibu mkuu wa CCM ndugu Bashiru Ali ili haliwote walikua hapa nchini nawazima wa afya. Iweje ushangae kwa nini Mnyika hajahudhuri mkutano wa CCM?
Sio up...mba..v ni wa kujibu
 
Najua mwenyekiti Mbowe bado ni mgonjwa na makamu wake Tundu Lisu yuko nje ya nch lakini Katibu mkuu Mnyika yupo pale jimboni Kibamba.

Ninachojiuliza kwanini Mnyika hakuhudhuria mkutano mkuu wa CCM ilhali vyama vyote vya siasa vilipewa mwaliko?

Maendeleo hayana vyama

Kwani mnyika ni mwana ccm? Maana huo mkutano ulikuwa wa ccm.
 
Back
Top Bottom