Ungetulia ungeweka uandishi wenye mtiririko mzuriAman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga
Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu
Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi pamoja na wabadhilifu wengi hivyo baada ya kuingia madarakan lugha aliyosema nayo ni kuwakanda kwa kishindo tena kibabe na kwa kikitisho
Leo hii hayupo nchi inajiendesha kama Iko kwenye siku zake kama Haina watawala au viongozi kila kitu kinahujumiwa na kukwama kuanzia mwendokasi mpaka TREN ya umeme, leo hii ukienda sgr kukata tiketi ya kuelekea Dodoma unaambiwa imejaa lakin wakati wa kuondoka inaondoka tupu ikiwa Haina watu, mpaka unajiluiza unabaki kushangaza kwamba ni nini hiki jaman
Nataman hata kesho mtu afe ili aje rais ambaye ni rais achana na hii picha ya ukutan tuliypnayo, barabara Zina mashimo nchi mzima, hospital huduma mbovu utazan mwaka 80 kila kitu kimevulunda ni hatari sana
Mwamba mwingine ni Benjamin netanyahu huyu kapakana na waarabu ambao lugha wanayo ielewa ni kipigo bila kipigo waarabu hawaendi na kweli jamaa anashusha kipigo tu
LONDON BOY
Lucas ngoja aje atiririkwe na machoz yake yanayotiririka kila maraAman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga
Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu
Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi pamoja na wabadhilifu wengi hivyo baada ya kuingia madarakan lugha aliyosema nayo ni kuwakanda kwa kishindo tena kibabe na kwa kikitisho
Leo hii hayupo nchi inajiendesha kama Iko kwenye siku zake kama Haina watawala au viongozi kila kitu kinahujumiwa na kukwama kuanzia mwendokasi mpaka TREN ya umeme, leo hii ukienda sgr kukata tiketi ya kuelekea Dodoma unaambiwa imejaa lakin wakati wa kuondoka inaondoka tupu ikiwa Haina watu, mpaka unajiluiza unabaki kushangaza kwamba ni nini hiki jaman
Nataman hata kesho mtu afe ili aje rais ambaye ni rais achana na hii picha ya ukutan tuliypnayo, barabara Zina mashimo nchi mzima, hospital huduma mbovu utazan mwaka 80 kila kitu kimevulunda ni hatari sana
Mwamba mwingine ni Benjamin netanyahu huyu kapakana na waarabu ambao lugha wanayo ielewa ni kipigo bila kipigo waarabu hawaendi na kweli jamaa anashusha kipigo tu
LONDON BOY
ok.🐒Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

who exactly ni adui kwa hao waliomzunguka?Unazan angefanyeje kwa hao watu waliomzunguka pande zote
System imara kwa watu wajinga kama Samia?WATU WANATAMANI TUJENGE NCHI YENYE SYSTEMS IMARA WEWE UNAKUJA NA AKILI ZA MWAKA 47.
SASA HUYO UNAYEMUWAZA NAYE AKITWALIWA TUNAANZA UPYA. HUU UJINGA WA KUMTEGEMEA MTU MMOJA NDIO AWE ALFA NA OMEGA WA KILA KITU, SIKU HAYUPO PYRAMID YOTE INAVUNJIKA!!!