dah JF ni balaa wakati mwingine, ila uko sahihi kabisa Lemutuz ana matatizo tena si madogo kwa kulinganisha na umri wake. Mtu mwenye akili timamu kwa tukio kama lile lazima uone haya kidogo alafu unabadili mwelekeo. Bro Lemutuz hayo mambo tuwaachie wajukuu zetuSasa yule ni taahira mkuu
so mzee malecela tutamuonea bure tu
tangu lini taahira akawa sawa na mwenye akili timamu ..??
YULE KAZALIWA TAAHIRA HAWEZI KUBADILIKA LABDA KAMA INGETOKEA ALELEWE NA YESU
inasikitisha mnoo mkuudah JF ni balaa wakati mwingine, ila uko sahihi kabisa Lemutuz ana matatizo tena si madogo kwa kulinganisha na umri wake. Mtu mwenye akili timamu kwa tukio kama lile lazima uone haya kidogo alafu unabadili mwelekeo. Bro Lemutuz hayo mambo tuwaachie wajukuu zetu
Ninemuelewa mtoa mada ni kuwa mzee mwenye busara kama wewe, malezi yako na ushauri ndiyo yametoa mtu huyu?mtoa mada,Mzee malecela kakukosea nini mpaka umdhalilishe???parents can only give advice but mtu anachofanya ni hiari yake mwenyewe kufuata ama kutofuata ...
Ninemuelewa mtoa mada ni kuwa mzee mwenye busara kama wewe, malezi yako na ushauri ndiyo yametoa mtu huyu?
Huyo atakua sio wa malecela mimba alisingiziwa yule mzeeNi kichaa Hana ufahamu kamili. Kweli kuzaa kuondoa matatizo. Mzee malecela kazaa kituko
Si kwa kufanana kule basi tu katokea chizi mmarifaHuyo atakua sio wa malecela mimba alisingiziwa yule mzee
haaaa haaaa haaaaHuyo atakua sio wa malecela mimba alisingiziwa yule mzee
Huyo ndie alikuwa mmiliki wa ile blog ya ze utamu ndio maana aliyoyafanya yanamrudia sasa hv.KIBA100 Bingwa wa kusambaza picha za mwenzie mitandaoni karma is a bitch le mutus My foot
Ni nani mwingine amefanyiwa haya na ajiulize ni kwanini?Hivi kosa la le mutuz ni lipi??? Naona wengi humu mnaongozwa na chuki binafsi tu na kutaka kila mtu aishi mnavyotaka nyie. Sijaona sheria aliyovunja Le mutuz ila yeye ndo anapaswa aombwe msamaha na kulipwa fidia ya mamilioni kwa udhalilishaji aliofanyiwa. Le mutuz sio wa kulaumiwa ana shughuli zake halali kama watanzania wengine. Wabongo tuache wivu na chuki za kijinga.
Huyo Mange ameshawadhalilisha watu kibao sana ila sijaona watu wakimlalamikia humu zaidi ya kumlaumu aliedhalilishwa.Ni nani mwingine amefanyiwa haya na ajiulize ni kwanini?
Kama hiki kibabu ndio kilikua kinamiliki ile blogu chafu ya ze utamu iliyokua imesheheni picha za wadada za utupu basi ni stahiki yake pia kuwaonyesha watanzania kibamia chake, sikua najua kwanini anajiita mfalme wa mitandao ya kijamii Tanzania Le mutuz[emoji41] at 60 years and still behaving like a teenager[emoji45] [emoji45]Huyo ndie alikuwa mmiliki wa ile blog ya ze utamu ndio maana aliyoyafanya yanamrudia sasa hv.
Kama hiki kibabu ndio kilikua kinamiliki ile blogu chafu ya ze utamu iliyokua imesheheni picha za wadada za utupu basi ni stahiki yake pia kuwaonyesha watanzania kibamia chake, sikua najua kwanini anajiita mfalme wa mitandao ya kijamii Tanzania Le mutuz[emoji41] at 60 years and still behaving like a teenager[emoji45] [emoji45]
Hana ofisi huyooo [emoji1] [emoji1] [emoji1]Le mutuz nifanyie mpango kwa le fiel mashal Makonda nipate kazi aisee.
Nije lini mnazi mmoja pale ofisini kwako?
Na wewe una kibamia siyo bure...In 3 weeks haya ya lemutuz yataisha!
Zamani watoto wenye matatizo ya akili walikuwa wakifungiwa ndani ili kuepusha usumbufu au madhara kwa jamii iliyozunguka familia husika. Leo dunia inahubiri usawa na haki za binadamu matokeo tunayaona. Twende tu!