John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

Status
Not open for further replies.

Hivi kwanini Wivu binafsi Wa maisha ya Watu sasa ndo ajenda Kubwa za sijui chekechea sijui msingi. Why. Kuna mada nyingi sana. Hamuoni kama mnatuharibia sifa ya JF. Kila mtu ana namna zake. Mtu kaishi USA 20+ years. Unadhani hajui anachofanya. Akili ni pia kujua soko lako. Ukimwangalia Mange na Mambo anayoyafanya. Namna anavyoreact kwa challenges, namna anavyoforce topic in a very biased and incoherent ways. Ungedhani kweli CHADEMA Na wale wasomi Enzi za slaa wangemtumia kama katibu mwenezi. Mzee Wa sheria RAIS ambaye anapenda kuongea. Je ule uchi Wa hadharani haikuwa nafasi ya mwanasheria kumwambia mwenezi kuwa Sio sera za Chadema kudhalilisha Watu regardless the difference in political views and parties .MPENDWA sijui me sijui K. hatujui sasa mzima wewe Au Huyu. Mana he writes and argue reasonably no where can you see akimdhalilisha mtu hata adui zake kwa kiasi cha kupoteza mwelekeo. Futa tu UZI wako. You are advertising your stupidity ,prejudices and envy.
 
nimecheka jamaa anamtambulisha kama mzee wiliam ha ha ha ha ha lemutuz hataki kuukubali uzee ila kiukweli ni mkubwa kuliko JPM siku akifuga nywele mtaona mvi zake kama lowasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
- hahahaha wamenisaidia tu kuongeza pesa na kuwaacha wajinga kama wewe wakipoteza bando bure kupigana na ninayelipwa humu humu Social Media, wanasema akili ni nywele kila mtu na zake na wajinga ndio waliwao

le Mutuz
Kumbuka Dada wa taifa amesema ukileta za kuleta anafyatua bomu lingine la nyuklia.

Utakoma na bado
 
Kumbuka Dada wa taifa amesema ukileta za kuleta anafyatua bomu lingine la nyuklia.

Utakoma na bado

- Mwambie so far mikataba 3 mipya akifyatua tena itaongezeka mipya hahahahaha anajua anapigana na chuma hapa, na haifuti alichofanyiwa marehemu baba yake mzazi ya kupigwa na wanaume 10 hahahahahahha

le Mutuz
 
- hahahaha wamenisaidia tu kuongeza pesa na kuwaacha wajinga kama wewe wakipoteza bando bure kupigana na ninayelipwa humu humu Social Media, wanasema akili ni nywele kila mtu na zake na wajinga ndio waliwao

le Mutuz
Mikataba gani wewe !!!! Huna hela yoyote mla vumbi tu, ungekuwa na hela ungekuwa unatupigia kelele hapa posta na Kigali chako aina ya Noah tena ya zamani.

Huna lolote zaidi ya kiba100 kisichoipa kazi Boxer
 
Kumbuka Dada wa taifa amesema ukileta za kuleta anafyatua bomu lingine la nyuklia.

Utakoma na bado

- Kesho Asubuhi nitakuwa Star TV Saa Moja na Nusu, usikose kuangalia uelewe kwamba kaniongezea umaarufu tu na kupiga pesa cause kazi yangu ni Social Media.

le Mutuz
 
Mikataba gani wewe !!!! Huna hela yoyote mla vumbi tu, ungekuwa na hela ungekuwa unatupigia kelele hapa posta na Kigali chako aina ya Noah tena ya zamani.

Huna lolote zaidi ya kiba100 kisichoipa kazi Boxer

- Ni kweli Dubai wiki mbili nilikua nakaaa bure na nilienda bure hahahahahahahhahahaa

le Mutuz
 
- Kesho Asubuhi nitakuwa Star TV Saa Moja na Nusu, usikose kuangalia uelewe kwamba kaniongezea umaarufu tu na kupiga pesa cause kazi yangu ni Social Media.

le Mutuz
Video pekee unayostahili kuangaliwa ni ile inayoonesha Matako manene kama wanenguaji wa awilo longomba na mbele ka kipande ka nyama ya kitimoto kakiwa kanabembea kwa uvivu.
 
Le Mutuz hembu tuambie hiyo kesho Star Tv watazamaji watapewa nafasi ya kuuliza maswali ya papo kwa papo?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…