unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
View attachment 676289
Mzee William akiwa na marehemu mama yake
View attachment 676291
Mzee William akiwa na mama yake wa kambo
Pamoja na kutokumkubali Le Mutuz kutokana na itikadi za kisiasa. Lakini nimeumizwa sana kejeli dhidi yake zinazoendelea mitandaoni
Nimekutana na video jamaa akimtuma mwanae gengeni amletee "Le Mutuz" mbili akimaanisha bamia mbili.
Ishu hapa ni habari zinazozagaa kila kona kwamba William ana kibamia kama kinavyoonekana kwenye video iliyochukuliwa na binti mdogo aliyekuwa akimpa huduma ya ngono Ndg.William. Mzee William ambaye anasemekana kuwa na umri wa miaka zaidi ya 60 ni mtoto wa John Malechela aliyepata kuwa mtu mkubwa sana nchi hii. Alipata kuwa waziri mkuu wa Tanzania nzima hii akiiongoza mamilioni ya wa Tanzania.
Nimekuwa nikijiuliza nafasi ya mzee John Malechela juu ya tabia zisizoendana na umri za mwanae William. Ni dhahiri kwamba William ana maisha yake ni mtu mzima,lakini mtoto kwa wazazi hakui,familia za kiafrika zina utamaduni wa mtoto kuendelea kuwajibika kwa wazazi nk. Mzee John Malechela na mama wa kambo Mama Anne Malechela mko wapi kumkanya huyu mzee William Malechela?hamuoni kama anachafua taswira ya familia na ukoo wenu wenye heshima?
Hivi kwanini Wivu binafsi Wa maisha ya Watu sasa ndo ajenda Kubwa za sijui chekechea sijui msingi. Why. Kuna mada nyingi sana. Hamuoni kama mnatuharibia sifa ya JF. Kila mtu ana namna zake. Mtu kaishi USA 20+ years. Unadhani hajui anachofanya. Akili ni pia kujua soko lako. Ukimwangalia Mange na Mambo anayoyafanya. Namna anavyoreact kwa challenges, namna anavyoforce topic in a very biased and incoherent ways. Ungedhani kweli CHADEMA Na wale wasomi Enzi za slaa wangemtumia kama katibu mwenezi. Mzee Wa sheria RAIS ambaye anapenda kuongea. Je ule uchi Wa hadharani haikuwa nafasi ya mwanasheria kumwambia mwenezi kuwa Sio sera za Chadema kudhalilisha Watu regardless the difference in political views and parties .MPENDWA sijui me sijui K. hatujui sasa mzima wewe Au Huyu. Mana he writes and argue reasonably no where can you see akimdhalilisha mtu hata adui zake kwa kiasi cha kupoteza mwelekeo. Futa tu UZI wako. You are advertising your stupidity ,prejudices and envy.