Ha haaa afungue kesi mi nitamsapoti. Na wale wadada picha zao zinazovuja mitandaoni bila idhini yao waungane nae! Itapendeza!Hivi kosa la le mutuz ni lipi??? Naona wengi humu mnaongozwa na chuki binafsi tu na kutaka kila mtu aishi mnavyotaka nyie. Sijaona sheria aliyovunja Le mutuz ila yeye ndo anapaswa aombwe msamaha na kulipwa fidia ya mamilioni kwa udhalilishaji aliofanyiwa. Le mutuz sio wa kulaumiwa ana shughuli zake halali kama watanzania wengine. Wabongo tuache wivu na chuki za kijinga.
Du!Le Mkunduz
Hahahahahah kuna muda Nyie ndio mnaona aibu Ila Jamaaa yeye wala ashituki...... Ukipewa Moyo wa namna ihiiii hatari Sana....... Hata mbwa wangu kuna mda wanaona aibu aiseeeee wakifanya tukio nisilolipenda ninapowaonya wanakimbilia bandani Ila huyu baba yangu ni shidaaaaahIla huyu jamaa ana moyo Mgumu Sana.
Hongera zake.
Ina maana kwenu mtu mwenye miaka 60+ hamumpi heshima ya uzee? Au unadhani ni kwa nini serikali imeweka umri wa kustaafu kuwa miaka 60?[emoji16][emoji16][emoji16] hio 'Mzee William' nimechekaje!
kwa hiyo bado unataka tena vitoto,safari hii watakurekodi kabisa video ya ngono- huyo ni one of my ex duh picha ya loong time ago niliporudi tu from USA U know i miss that Chick U know
le Mutuz
duh aisee naomba kuiona mummyAchana na video nimekutana na pic yupo chalii
- hahahaha wamenisaidia tu kuongeza pesa na kuwaacha wajinga kama wewe wakipoteza bando bure kupigana na ninayelipwa humu humu Social Media, wanasema akili ni nywele kila mtu na zake na wajinga ndio waliwao
le Mutuz
- hahahahaha so unasema wewe mtoto wa kiume unayetumia majina ya bandia kutukana watu humu Mitandaoni baba yako kakuongoza vizuri? hahahahahahahaha hii imenivunja mbavu sana hahahahahahahahhahahahahhaa
le Mutuz