John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

John Malechela uliongoza Tanzania nzima unashindwaje kumuongoza mwanao Le Mutuz?!

Status
Not open for further replies.
Hivi kosa la le mutuz ni lipi??? Naona wengi humu mnaongozwa na chuki binafsi tu na kutaka kila mtu aishi mnavyotaka nyie. Sijaona sheria aliyovunja Le mutuz ila yeye ndo anapaswa aombwe msamaha na kulipwa fidia ya mamilioni kwa udhalilishaji aliofanyiwa. Le mutuz sio wa kulaumiwa ana shughuli zake halali kama watanzania wengine. Wabongo tuache wivu na chuki za kijinga.
Ha haaa afungue kesi mi nitamsapoti. Na wale wadada picha zao zinazovuja mitandaoni bila idhini yao waungane nae! Itapendeza!
 
ninachoweza kusema Hujafa hujaumbika[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Ila huyu jamaa ana moyo Mgumu Sana.

Hongera zake.
Hahahahahah kuna muda Nyie ndio mnaona aibu Ila Jamaaa yeye wala ashituki...... Ukipewa Moyo wa namna ihiiii hatari Sana....... Hata mbwa wangu kuna mda wanaona aibu aiseeeee wakifanya tukio nisilolipenda ninapowaonya wanakimbilia bandani Ila huyu baba yangu ni shidaaaaah
 
[emoji16][emoji16][emoji16] hio 'Mzee William' nimechekaje!
 
- hahahaha wamenisaidia tu kuongeza pesa na kuwaacha wajinga kama wewe wakipoteza bando bure kupigana na ninayelipwa humu humu Social Media, wanasema akili ni nywele kila mtu na zake na wajinga ndio waliwao

le Mutuz

Kupoteza bando unajua wewe they have nothing to lose rather than they are playing with you toy with your uncircumcised ocra [emoji1] [emoji1]
 
- hahahahaha so unasema wewe mtoto wa kiume unayetumia majina ya bandia kutukana watu humu Mitandaoni baba yako kakuongoza vizuri? hahahahahahahaha hii imenivunja mbavu sana hahahahahahahahhahahahahhaa

le Mutuz

Kakutukana tusi gani??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom