Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ha haaa afungue kesi mi nitamsapoti. Na wale wadada picha zao zinazovuja mitandaoni bila idhini yao waungane nae! Itapendeza!Hivi kosa la le mutuz ni lipi??? Naona wengi humu mnaongozwa na chuki binafsi tu na kutaka kila mtu aishi mnavyotaka nyie. Sijaona sheria aliyovunja Le mutuz ila yeye ndo anapaswa aombwe msamaha na kulipwa fidia ya mamilioni kwa udhalilishaji aliofanyiwa. Le mutuz sio wa kulaumiwa ana shughuli zake halali kama watanzania wengine. Wabongo tuache wivu na chuki za kijinga.