John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.
Wewe unamjua ni nani?

ndio namjua ni nani, katoa clues kadhaa...1. jina lake 2. kaongelea KLH kwa mamlaka flani (sio MJJ lakini ni mtu anayefahamiana nae na wapo karibu kimtindo, pia anajuana na Ab-titchaz) 3. kaapia kwa jina la mungu akitumia "allah" (mie imenisaidia ktk process ya elimination) 4. siri yangu kwani nae atanijua mie nani 5...............

ni mchovu na muhuni, ukiondoa ilo "ng'eng'e" lake alojifunzia Arusha School. hakuna la maana analojua, kama unabisha anzeni kumjibu mapigo uone kama hajakimbia.
 
Wewe unamjua ni nani?

Let him hit harder, then the ground is going to shake with tremmor, and that is what we are waiting for. Does he know what he is dealing with? There is not going to be peace until he shuts up, or he is going to be silenced and all of his associates
 

Yeye hakuwa anaandikia gazeti.Ulitaka article yake iwe reviewed as if inapalekwa JSTOR na sio Michuzi blog.Hivi kuna posts ngapi hapa zinazopelekwa kwa reviewers kabla hazijapostiwa?

Nadhani unaposema NASHANGILIA KUWA KWANGU UK unarudi kulekule kwenye tatizo la msingi,kuacha kujadili hoja na kujadili mtu.Nimetaja kuwepo kwangu UK for ages pasipo maana ya kushangilia (why should I?) bali whether UNATAKA au HUTAKI kama simple logic could tell you that if BAADHI YA WAINGEREZA AMBAO KIINGEREZA NDIO LUGHA YAO YA TAIFA WANASUASUA WHY NOT MTU MWINGINE AMBAYE ENGLISH NI 2nd LANGUAGE?That's my point.

TUMALIZIE NAMNA HII: (according to you) MIE NIMEFANYA KOSA KWA KUMTETEA MASHAKA ALIPOTUMIA KIINGEREZA KIBOVU,NIMEFANYA HIVYO KWA VILE UK PIA WATU WANA MATATIZO YA KIINGEREZA.SASA NYIE WENZETU MNAOKIFAHAMU KIINGEREZA IN AND OUT,AMBAO MNAPOANDIKA NI KAMA MAANDIKO YENU YAMEPITIA KWA REVIEWERS,NA MNAOUJUA UCHUMI WA DUNIA PASIPO SHAKA,MTUANDIKIE KILICHO BORA ZAIDI YA ALICHAONDIKA MASHAKA.
 
Ok, hivi inakuwaje watu wanayajua mambo yake mengi kama sio yote? hadi kufunga siku tano akiwa analala chini ya mti?(hii hata mimi sijawahi kusikia)

kwikwikwikwikwikwi alikuwa anawanga, jamaa ana amini mambo ya ndumba. shauri lako, ukizidi kumfuatafuata atakushusha busha ndio ukome kuringa.
 

Nobody is going to ran away. Kama ni lugha tupo kote kote. By the way, JM is a very learned collegue and should have judged by the content of his article and not his character. Muda wa kuchezea akili za watu na malimbukeni zimekwisha, na hakuna hata mmoja wenu atakayemzungumzia JK or even JM period.
 
This thread will temporarily close. Sorry for inconvenience !
 

Nyani,
clue nyingine hiyo.................
 
MOD SAMAHANI KWA KUHAMISHA HII MAANA PALIPOKUWA PAKE PAMESITISHWA!
********************************************
BACK TO THE VERY QUESTIONS.

Nukuu ikiwa na ongezeko la namba.


Ujinga wangu:

0- ndicho kichwa cha habari. 1-2-ndio maswali yenyewe 3.ndio rejea tuliyopewa.

1. Mtu mmoja mmoja na sio kundi au tabaka fulani au wa nasaba fulani, awe wa nyumbani au wa ughaibuni anaweza kuwa na uwezo mzuri wa kulikomboa Taifa kutegemea na upeo wa uelewa wake, nia yake, mipango yake, juhudi zake, nafasi anayopewa na jinsi anavyoungwa mkono na watu wa eneo husika na pia vyombo/ asasi na taasisi za umma.
Nasubiri kuona utetezi wa kisayansi wa yeyote anayeweza kuja na tasnifu inayothibitisha kuwa mabadiliko yanaletwa na jamii ya walio nyumbani tu au wanaotoka ughaibuni tu.

Awali ya yote mtafiti huyo anapambana na ukinzani mkubwa katika kutanabaisha ni nani hasa ni wa 'kizazi cha diaspora'. Je ni yule ambaye wazazi wake walizaliwa na au kukulia ughaibuni? Ni yule aliyezaliwa ughaibuni? Ni aliyekulia (sijui mpaka miaka mingapi) ughaibuni? au ni yeyote aishiye ughaibuni na kwa muda gani?

2. Kuhusu Kabour, bado swali hili ni pana sana, maana kweli mara nyingi kiongozi (kama Mbuge) huwa kisababishi au kichocheo cha kuleta mabadiliko kuliko kusema analeta mabadiliko mwenyewe (as an individual!). Ni vema tungemtathimini kwa kipimo cha hadidu za rejea za kazi au nafasi aliyopewa. Na utaona kuwa kweli mtu anaweza akaonekana kuwa na ufanisi kazini lakini si lazima kuwa ameleta mabadiliko yoyote chanya maana sera au mpango kazi anaoutekeleza waweza kuwa butu au usioleta mabadiliko yeyote bali kulinda au kuendeleza hali iliyopo (status quo). Pengine ni vema swali liweke wazi (specific) eneo na wajibu aliopewa na tulinganishe na utekelezaji wake. Na hiyo itatakiwa kuwa thread nyingine kabisa maana haina uhusiano na Mashaka simply kwa sababu wameishi ughaibuni! This sample population can never be reperesentative of what you term 'kizazi cha diaspora'.

3. Masahili tuliyokwisha yasoma kwa Michuzi yanaweza kuchambuliwa na watu wakatoa maoni lakini bado hayawezi kumhukumu au kumhalalisha kuwa anaweza kuwa Mashaka anaweza kuwa Mbunge au la.
Kwa ujumla, binafsi nimemfahamu Mashaka kama mtu mwenye huruma na aliyetumia uwezo wake kubuni miradi midogo midogo na kusaidia watu kwa kadili alivyopata. Tatizo lake nimeliona kuwa amependa kusifiwa (kutafuta umaarufu) kwa kupitia vyombo vya habari. Nilikwisha muonya kuwa awe makini maana ukiingia kwa mitandao, utaondolewa kwa mitandao! Otherwise watu hapa Dar walimtupia madongo mazito kwa kuvaa miwani myeusi mbele ya kadamnasi na blue tooth na utoaji wa hotuba akiwa amefungua Laptop yake. Yaani waliona kama vile ni mtu wa kujishebedua hivi ingawa kwangu that was a non issue!

BTW: Kutokana na maswali yaulizwayo, Mleta mada nadhani angeandika kichwa cha habari kinachomalizikia na alama ya kuuliza (?) badala ya alama ya mshangao(!)

WANA JF JE TUNARUDI KATIKA MASWALI YA HII THREAD AU TUMEAMUA KUTUNGA MASWALI YETU MENGINE NA KUYATAFUTIA MAJIBU HAPA NA PIA KURUSHIANA MANENO?
 
Because people like you (PUNDIT)have THE guts to criticise well delivered ideas.If you are an expert, why cant you use your expertise to write something magical for Tanzanians burdened with graft to read for them to rid themselves of UFISADI?

In addition to the previous discussions, we have been assured by our economic captains such as the BOT governor that the Tanzania government is well prepared to incline the problem and nothing to worry about. We do hope this is the case!





Using Jargon does not mean you are brilliant it means you are incompetent.

Have you ever been in any of the channels, or are you having any column?

Being a pundit in underground, anonymous forum shows you are semi literate or brain dead along with your surrogates or still day dreaming to be there when you turn 81!

I have read john’s article which seems to be well written and grammatically correct with a few exceptions we expect from someone who is not a journalist.

Try to build that destroying; he has not praised himself, neither has he said anything out of context to warrant your stupid and shallow analysis of deceiving the vulnerable,and weak minded


Trust me JM Is far ahead of you in all aspects; splint to catch up! The guy has no intent of becoming a Mbunge. He will be mentally sick to leave his lucrative job to go and work for peanuts.

Mimi binafsi, could never take seriously any person who writes the above hogwash! Tatizo si kiingereza tu bali hata arguments alivyoziweka. Watu kama hawa wana-insult my intelligence. Watu kama hawa ndio wanarudi nyumbani,wanaanzisha klabu za mipira, wana hob-nob na wenye nazo wenzao na kujifanya ndio messiah wetu. Tunameza yote haya kwa vile hatutaki kuangalia anachokula bata. Tunawatukuza kama vile wanatufanyia favour kubwa sana wakirudi na kugawa hizo jenereta na mashuka waliyokusanya kutoka kwa gullible Americans!

Kama alivyosema Pundit, John Mashaka amekuwa criticised kutokana na gear aliyoingia nayo. Hapa ni www na ni jungle. Hakuna mtu aliye sacrosant.
 


hata km kumtetea huyo JM sio kuropoka namna hii,he we...ulikuwa umelewa?
forums zingine zimekufa kutokana na upuuzi km huu,msijadili nini kinazungumzwa,mnaanza kujadili NANI kasema nini .......akiosha mi****nd* anapoteza her rights kumzungumzia huyo JM?acheni ujinga...
 
Mkuu watu wako too personal JF ndio linashobakiwa kila siku badala ya kuangalia logic.Ukiangalia hapa kuhusu JM ni wivu tu unawasumbua watu.Yaani mkuu umemaliza kila kitu wabishe tu hao wanaojiita wasomi wajua vingereza article zao wanazipeleka kwa wasahihishaji kabla ya kupost hapa JF?

Mapundits wa JF bana makala zao ziko wapi kazi makelele tu yasiokuwa na mpango.Hamna hoja ya msingi.
 

Nina matatizo yafuatayo na mtu aliyeandika hayo yaliopo haapo juu:

1. Kama mwandishi alizaliwa Tanzania ni lazima ajue kuwa hatuna Bush men Tanzania. Tuna binamu zao, wa-hadzabe. Bushmen ni jina ambalo kuna baadhi ya watu wanaliona ni la kejeli. Baadhi ya majina mbadala ni San,Khwa, Sho, Basarwa n.k. Na hawa wanaishi Afrika ya Kusini, Botswana na Namibia. Wanaishi vile vile Zimbabwe, Lesotho, Angola, Swaziland na Msumbiji. Hawa hawaishi misituni (jungle) bali wengi wao wanaishi kwenye jangwa, hususan, jangwa la Kalahari.

2. Mwandishi ku-insinuate kuwa waafrika kazi yao ni kufukuzana na wanyama misituni. Huku ni kuendeleza myths zilizoanzishwa na wakina H. Rider Haggard na Edgar Rice Burroughs. Yeye anakuwa kama Allan Quatermain mweusi anayeleta ustaarabu kwa wakina umslopogaas! Mimi kwangu hili ni tusi.

3. Kuna kitu kuhusu zile shades anazovaa. Hatoi hata kwenye picha aliyopiga na kale kabinti! Kwangu mimi, Fundi Mchundo, mtu wa namna hiyo ana walakin. Au anataka kutuambia amekaa mno ughaibuni kiasi kwamba jua la kwetu linamsumbua?

 

Yoyo
Kusema kweli haya the so called pundits hawana lolote. Hakuna hata article moja waliyoandika, kazi zao ni kunukuu vitu vya watu na laini moja (sentensi) zisizokamilika.

Kweli ni wivu za kike, na watatafuta kila wawezalo ili kuona kasoro. Tunawaomba waandike hata kitu kimoja waone watakavyotolewa mkuku.

U-Pundit wao umekwisha kwa maana sasa hivi tunawashikilia Bango. Hawa watu wa wivu na majungu wametuchosha sana

Cha msingi cha kujiuliza, ni kwamba, licha ya kujificha kwenye ma blogs na anonymous names, wao ni nani na wanafanya nini? JM ni mtoto mdogo sana kwao hawa, alafu kijana wa watu hana majivuno kabisa, lakini wivu zinawsumbua kupita kiasi.

Kuanzia sasa, tunawataka wajenge hoja zao siyo kutukana watu na kujifanya wanajua, ilhali hawajuhi kwamba wao ni vimeo.

We dont need their blabla. we need substance and creativity from them. vitu vya maana kwa taifa letu, alafu tena, we are going to be on their tails, and the work has started
 

Mama unajitahidi sana kuangalia pande zote za mjadala, kwa kweli. It's impressive. On the one hand, ulini call out kwa ku assume jamaa hawezi kuwa M-Bushman from Tanzania, ila naomba kwa hili tusubiri kupata ukweli wa asili yake haswa (So far naona kuna indication kwamba naweza kuwa niko sahihi. Mchangiaji mwingine, Fundi Mchundo, nae ame indicate kwamba hakuna Bushmen Tanzania.)

In any event, nafurahi umeliona swala la immaturity ya mjomba Johnnie kwenda mbele ya national audience na li-kapelo na li-gazozi limefunika uso kama Terrel Owens analia, na kujitangaza kuwa Investment Banker wa "Wall Street" ya North Carolina!! Anataka kuwa Bono the activist philantropist, lakini mwenzie yuko kwenye show biz, kazi ambayo inaendana na glitzy image na mitindo. Mjomba Johnny ana aspire kuwa Wall Street investment banker, avue m-kapelo wa pinki na miwani ya uso, I don't care kama ni ya Marc Jacobs, the plagiarizing designer au Moss Lipow leather glasses!!

Kingine, mjomba Johnnie anahitaji ku mature. Alipoenda Daily News swali la kwanza kaulizwa, eenhe, tuambie, ni vitu gani umefanya. Mjomba akaanza...."aaaah, vitu ambavyo nimefanya sitataka kuvizungumzia kwa maana itaonekana kama najisifia." Imagine that! Puerile, self-centered response to a simple, important question. Tueleze shughuli za foundation yako. Tumia nafasi hiyo ku raise awareness juu ya social ills ambazo zinakukera, uungwe mkono, we unaanza kumaindi mambo ya kitoto, ku deflect shutuma kuwa unatafuta ujiko! Umejipeleka gazetini kuongelea masuala ya foundation yako, sio ?

Jamaa anahitaji PR skills, ama he's straight out mwongo mwongo. Kuna interview alisema hapendi kabisa media attention, na ana wish angekuwa anaweza kufanya mambo kimywa kimywa. Lakini yeye mwenyewe ndio haishi kujipeleka kwenye camera, kutuma vi article Arusha Times, Salisbury Post, WSOC-TV, Michuzi. Attention grabbing, prepubescent, dishonest Bono-wanna be.

Halafu, anapotoa hii misaada ni vizuri awape credit wanaochangia. Amewadanganya Daily News kwamba hana foundation wakati ipo imeandikishwa N.C., ambako anawapigisha donee wafanyakazi wa Wachovia. Ana wahisani wa nguvu in N.C. including Joan Cooper, millionaire CEO wa Cooper & Co., na Esther Mateos, a high level exec at Wachovia na wengineo. Mjomba Johnnie ana ma ishu na ma baggage mengi.
 

Dear Kuhani,

The two posts you quoted above are first penal offenses by that member. With due respect to your postulation, we could not and cannot preemptively ban user's IP address prior to an offense nor can we do it lightly following an offense. In this matter, he/she will receive a punishment accordingly. However we must emphasize that, the kind and severity of punishment in many cases cannot be molded by another member. We appreciate your concern and apologize for impositions resulting from the two posts. Have a good day !


An addition to IP address issue: They can be dynamic, but can also be spoofed. Hence banning them is not the silver bullet for dealing with nuisance on forums. We do wish they were all static. Thank you !
 
Last edited:

Kuhani

Tafadhali amua lugha ya kutumia kama ni kizungu basi tutumie kizungu.

Anyway, with all the quotes and Intense, still I dont get it, what is your main intent here. I think we had an economic article to discuss, can you dissect the logic in the article, because you are confusing "yourself" more than you are to others.

CREDIT: You have so much time to Google people's names, and I believe you are going to die jealous even to your own kids

My point is that, Stop being jealous. you are a man and this is someone from your country. Can you reveal your name so that, we can talk intelligently, and if you cant be rest assured that I have the power to obtain it?

Did you know that the internet has its owners?

**********
IDARA ------ DAR
 
Last edited by a moderator:
Pundit,
Jibu mapigo, jamaa si lolote si chochote anakutisha tu. Kama ungejua ni nani huyu mtu anayejiita Chinga, ungejiona mjinga sana kwa kumuuachia anakuongelea hovyo namna hii.

HIT BACK HARDER, PUNDIT!!

So now this is what this is about?

People , some of us actually have social lives, and do get away from computers, especially on weekends.No amount of irritating flies and fleeting impactless virtual-particle-like sorry rabbits tricks will move the rationality of a principled observant.Zero tolerance towards wannabees, pretenders and usurpers is guaranteed.

Pundit is a battle-scarred shogun, and once provoked will gladly provide the dressing down to these tagless lost puppies cum two bit toy soldiers with neither the content nor the delivery to even begin to register in the annals of recognized financial journalism.

The venerable St. Augustine said "It was pride that changed angels into devils; it is humility that makes men as angels." Have some humility, jamaa yenu kachemsha, tena kajianika utupu wake mchana kweupe kama mtu aliyevuliwa nguo.

Sasa kama anatuma wapambe au anakuja mwenyewe kufanya damage control (angalia posts za watetezi wake utagundua) anakosa somo la bure.

Kwa wale wanaosema niandike piece kuhusu uchumi I tell them this.

1.No one knows if I have or have not written an article on the subject at hand.I will not stand to compromise my sacred anonymity for the sake of a food fight.

2. I do not have to write a piece here in order to earn the right to criticize another.I can choose my role to remain in the realm of pointing out the obvious and despicable butchering of the presentation and concepts in any and all posts.

3.If by my own volition I were to write a piece here, which will most certainly not be hurried, by virtue of the fact that I did not declare myself an expert on the subject, the administration of a critique would be ill advised to focus on my piece as one coming from a professional in the field.I will still expect the regular scrutiny which stand like trade mark behind the JamiiForum brand.

3.Should I choose to write a piece on the subject here, I will do it at my own pace.Under no circumstance will I ever let praise get to my head and get me giddy with narcissist egoism or blame get to my heart with the burden of the same ego trying to impress anybody.

4.If you don't see me murdering some malnourished wanna be critic of my critique, it is hardly because I am afraid. This throat slasher has never been one to back down from a challenge, shy from answering a question and in the same breath, with the audacity of the third person, has never been known to accept ill conceived domestication.
 
Last edited:
Duuu, hii thread kwa sisi tusiojua lugha hata moja naona tuwe tunapita tu kuangalia wanaojigamba yaani ninakuwa Mgambirwa.
Watu wananifurahisha. Mtu anasema yeye anajadili PUMBA alizoandika JM ila ukienda mbele unakuta hadi MIWANI yake na Kofia vimeandikwa. Hakuna anayejua picha lipigiwa wapi. Nilishangaa siku moja kumuona Clinton kavaa normal. Michael Jackson kavaa mijishati na fulana za bei cheap. Sasa ukija mpiga picha utasema ahh, muone huyu Clinton au Bush anatoa maoni haya na angalia nguo alizokuwa kavaa.
Kuna mtoto wa Milioanea mmoja ambaye baba yake anafanya biashara ya mafuta (watu kama LUKOIL). Huyu bwana kila akienda sehemu huwaambia kabisa mwenzenu naja nikiwa na T-Shirt na kofia kama ya JM na imegeuzwa. Of course akija aja na Sports Cars za Kijeruman au Italy zile za bei chafu. Akifika deal hufanywa na jamaa anaondoka. Mfano mwingine hebu oneni ile thread ya Mzee wa Kiswidi (Boss wa IKEA). Sijui huyo naye angelikuwa Mtanzania mngelimchamba kiasi gani. Mie nimekuwa na wasiwasi na promotion anazozitumia JM ila nisingelianza kujadili hadi kofia yake, miwani yake, kiingereza chake. Hii inawapa wengine kuanza kusema ni wivu wa Watanzania.
Tanzania na USOMI wetu twafungwa magoli kitoto na Wahindi na Waarabu. Hata vimacho wa Indonesia wanatufunga. Wazungu ndiyo acha kabisa. Ila kukicha sisi ni kusema tunaujua uchumi vizuri, kiingereza ndiyo wacha, mahesabu wazungu walikuwa wanakuja kuconsult, wahindi wanakuja kukopa, waarabu nawafanyia homework, CO WHAT? At the end of the day, unakaa kwenye mazingira machafu, nchi masikini, hamna mitaro, umeme wa mgawo, rais wako na nchi yako ni Matonya wa kimataifa. Hivi hii ELIMU tunayojivunia IMETUSADIA NINI?? Au ukweli unauma?????
Tujadili YALIYOMO na si KIKOMBE.
 


just arogant,selfish idi...ot
 
Tujadili YALIYOMO na si KIKOMBE.

Kama kikombe ni kichafu kinaweza kusababisha magonjwa, mfano huu unaonyesha jinsi gani lugha inayobeba maudhui ya makala na makala yenyewe vinaungana na kuwa kitu kimoja.

Zaidi ya hivyo kuna mambo mengine ya kati kati kabisa mnamo janga hili zaidi ya lugha yameongelewa kwa ufupi, kwa nini watu wanaandika kama kilichoongelewa ni lugha tu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…