Mama unajitahidi sana kuangalia pande zote za mjadala, kwa kweli. It's impressive. On the one hand, ulini call out kwa ku assume jamaa hawezi kuwa M-Bushman from Tanzania, ila naomba kwa hili tusubiri kupata ukweli wa asili yake haswa (So far naona kuna indication kwamba naweza kuwa niko sahihi. Mchangiaji mwingine, Fundi Mchundo, nae ame indicate kwamba hakuna Bushmen Tanzania.)
In any event event, nafurahi umeliona swala la immaturity ya mjomba Johnnie kwenda mbele ya national audience na li-kapelo na li-gazozi limefunika uso kama Terrel Owens analia, na kujitangaza kuwa Investment Banker wa "Wall Street" ya North Carolina!! Anataka kuwa Bono the activist philantropist, lakini mwenzie yuko kwenye show biz, kazi ambayo inaendana na glitzy image na mitindo. Mjomba Johnny ana aspire kuwa Wall Street investment banker, avue m-kapelo wa pinki na miwani ya uso, I don't care if kama ni Marc Jacobs the plagiarizing designer au Moss Lipow leather glasses!!
Kingine, mjomba Johnnie anahitaji ku mature. Alipoenda Daily News swali la kwanza kaulizwa, eenhe, tuambie, ni vitu gani umefanya. Mjomba akaanza...."aaaah, vitu ambavyo nimefanya sitataka kuvizungumzia kwa maana itaonekana kama najisifia." Imagine that! Puerile, self-centered response to a simple, important question. Tueleze shughuli za foundation yako. Tumia nafasi hiyo ku raise awareness juu ya social ills ambazo zinakukera, uungwe mkono, we unaanza kumaindi mambo ya kitoto, ku deflect shutuma kuwa unatafuta ujiko! Umejipeleka gazetini kuongelea masuala ya foundation yako, sio ?
Jamaa anahitaji PR skills, ama he's straight out mwongo mwongo. Kuna interview alisema hapendi kabisa media attention, na ana wish angekuwa anaweza kufanya mambo kimywa kimywa. Lakini yeye mwenyewe ndio haishi kujipeleka kwenye camera, kutuma vi article Arusha Times, Salibury Post, WSOC-TV, Michuzi. Attention grabbing, prepubescent, dishonest Bono wanna be.
Halafu, anapotoa hii misaada ni vizuri awape credit wanaochangia. Amewadanganya Daily News kwamba hana foundation wakati ipo imeandikishwa N.C., ambako anawapigisha donee wafanyakazi wa Wachovia. Ana wahisani wa nguvu, in N.C, including Joan Cooper, millionaire CEO wa Cooper & Co. na Esther Mateos, a high level exec at Wachovia na wengineo. Mjomba Johnnie ana ma ishu na ma baggage mengi sana.