The article is excellent to you, not necessarily to everyone else. Hii sio mara ya kwanza Pundit kuchambua, huchambua hata michango ya members humu, nachelea asijekuchambua na wewe.
Hapa ni JF, people dare to talk openly, ukibore unaambiwa, ukiwa sawa unaambiwa vile vile. Mambo ya wivu ni kwenye kitchen party, sio hapa JF.
Inategemea na kipimo chako cha mafanikio. Kipimo kinaweza kuonyesha best kwako kwa mwenzio kikawa least. Una uhakika gani kama huyo Pundit hasaidii watanzania wenzake, au hadi atangaze?
Mind you, katika dunia ya leo hakuna utakachofanya umridhishe kila mmoja, kila mtu na mtazamo wake. Mtu akinicriticise cha kwanza nitakachofanya ni kumshukuru. Kwa sababu gani? najua mtu huyo ananijenga. Nitachukua hizo critics kama challenge ya kunifanya nijitahidi ili nifanye vizuri zaidi na sio kunikatisha tamaa.