Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,,
When you come, especially publicly, better come correct.What is said and how it is said are not two things but two sides of the same coin.SSikupata muda mzuri wa kugusa substance ingawa nimeangalia kwa haraka nikaona matatizo.Nilijaribu ku adress hivyo hivyo ndiyo maana nimetoa mfano wa hiyo article ambayo Steve amesema ingekuwa vizuri niitoe tarehe.Kwa hiyo hapo sijamaliza, ni mwanzo tu.NNimeangalia lugha na vitu fulani vilivyo obvious kabisa.Nikitaka kuchukua darubini na kuonyesha mambo mengine, pamoja na predicament yetu itabidi kunichukua muda kwenye PC na mie sasa hivi niko mbali na PC.You guys have me posting from my cell.SSorry for any typos.
Watu bwana JM kawaambia anagombea ubunge?
Kazi ipo, Mashaka atarudi kweli?
Masanja: Soma tena analysis ya Pundit, amepiga vyote: content na style.
Yes, I agree with Pundit when you decide to 'drop' a seemingly intellectual piece in a forum that cares about attention to details, such as JF, surely you need to get it right. Otherwise, waungwana watakuteremsha! Hapo KH hajasema kitu, akisema je?
Hajatuambia.
Wapambe wake wametuletea hoja kwamba jamaa awe Mbunge. Sisi tunachambua kama kweli anatufaa.
His latest move, katoa ushauri kwa Watanzania jinsi ya kupambana na global financial crisis, yeye akiwa kama "Wall Street" investment banker, lakini ushauri wake ni fyongo na hakuna Wall Street North Carolina kama anavyodai!!!
Ana matatizo ya ukweli: kadai kwenye gazeti la Salisbury, North Carolina kwamba yeye ni Bushman na hataki kurudi kufukuzana na wanyama Afrika!!! (hapa.)
Anaficha details za mfuko wa foundation yake: kadai mbele ya camera za Daily News la Tanzania kwamba foundation yake bado haijaandikishwa wakati ilishaandikishwa North Carolina kitambo (hapa) na tayari yeye kama mwenye hii foundation anachangisha mpunga kutoka kwa wafanyakazi wa Wachovia, Charlotte, N.C. (hapa).
Zile nyakati za watu kuja Tanzania kusema "Mimi Ndiye" na kupokelewa kama manabii bila kuchambuliwa that time is long gone!!
Sasa hivi kuna Wabongo wametandaa kila kona ya dunia. Ukienda Tanzania ukasema nipeni uongozi kwa sababu nina experience kwa maana nimetoka kuwa mfalme wa Wagalatia, trust me, kuna Watanzania waishio Ugalatia watasema kama Wagalitia wenyewe wanakubali hilo au walikukimbiza Ugalatia kwa nyundo, misalaba na misumari.
Nyakati za wajuba kuja ku take Watanzania for granted na kutugeuza sisi slow that time is long gone!
.......Ana matatizo ya ukweli: kadai kwenye gazeti la Salisbury, North Carolina kwamba yeye ni Bushman na hataki kurudi kufukuzana na wanyama Afrika!!! (hapa.) ................
Kukosoa na kurushia madongo kazi na juhudi za wengine ni kazi rahisi sana. Kuanza kufanya jambo (taking the initiative) ambalo wengi hawajaanza kufanya ni kitu kingine kabisa. Sikatai kuwa constructive criticism ni nzuri, lakini nahisi wengi hapa wanafurahia kukosoa ili mkosolewaji aonekane hamnazo ili mradi wamefurahisha nafsi zao........
...sijui ni kwa nini, (naapa haki ya nani tena siyo madawa wala vinywaji), lakini kila nikiangalia hiyo picha inayofanana na Flav Flavor halafu nikisoma article yake kama ilivyotundikwa hapo juu, namkumbuka Pundit wetu wa JF.... may be the NY banking sector link, ...or may be mambo ya kudhamini watu... i just don't know.. 😕
...Anyway, kutokana na maelezo mengi kule kwa globu ya kaka Michuzi, he seem well connected and with good intentions... agombee tu huo ubunge au wampe walau ule wa viti maalum. ciao
...nadhani maelezo ya bwana Mashaka, Kuhani umeyachukulia 'OUT OF CONTEXT'
Naona tunaandia mate.
Kasema hivi:
``Livingstone's student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New York's Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity. ´´
Kwanza tupate facts, nini kilitoka mdomoni mwake, halafu tuongelee hiyo context.
Anasema:Sawa ? Hayo ndiyo aliyosema. Sasa twende kwenye "context" yako sasa unayoongelea:
- Yeye ni Bushman,
- Asingependa - hataki hata kufikiria - kurudi kufukuza na wanyama kwenye nyika za Afrika.
Jamaa anasema, ndoto yake ni kufanya mambo, kufanya kweli, ili atakaporudi kwao, kwa ma-Bushman (South Africa, the last time I checked) aibadilishe iwe katika modernity badala ya kurudi kujikuta anafanya alichokuwa anafanya zamani, kufukaza ngiri, kuchonga vipago vya kuwindia visota na shorwe bwenzi, kukimbia mbwa mwitu, kuingiliwa ndani na chui usiku. That stone age life!!
Maisha ya nyikani. Mwituni. Hardscrabble lion-fighting jungle life!!
Now he wants to change that. To modernity. Ha aa aaa aaaa!
So, so, the self-made Wall Street investment banker alitoka kwenye the jungles of Savanna grassland in the hinterland of South Africa and by his own bootstraps, rose to the ranks of "Senior Investment Banker" in Wall Street down in Charlotte, North Carolina!!
Bushman to Broker-man to philanthropist story! Ha haa aaaaa!
I mean, you couldn't write a better script.
Nionyeshe nilipomchukulia "out of context"!
Umewahi kusikia kabila moja linaitwa wabarbaig na wafyomi?....Ni jamii ya kina Mary Nagu au Sumaye. Sasa kama mjomba johnie anatoka huko je?
[media]http://s256.photobucket.com/albums/hh162/wozupyo/jf%20profiles/?action=view¤t=TanzaniaStandardNewspapersHome.flv[/media]
I don't know about the Johnnie guy but I thought Sumaye ni mmeru na Mary Nagu mbulu.
Sumaye sio Mmeru (100% sure) na Mary sio Muiraq (100% sure) (Mbulu). Hawa ni wabarbaig wa kule Qatesh, though I stand to be corrected!.
Naona tunaandia mate.
Kasema hivi:
``Livingstones student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New Yorks Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity. ´´
Kwanza tupate facts, nini kilitoka mdomoni mwake, halafu tuongelee hiyo context.
Anasema:
- Yeye ni Bushman,
- Asingependa - hataki hata kufikiria - kurudi kufukuzana na wanyama kwenye nyika za Afrika.
Sawa ? Hayo ndiyo aliyosema. Sasa twende kwenye "context" yako sasa unayoongelea:
Jamaa anasema, ndoto yake ni kufanya mambo, kufanya kweli, ili atakaporudi kwao, kwa ma-Bushman (South Africa, the last time I checked) aibadilishe iwe katika modernity badala ya kurudi kujikuta anafanya alichokuwa anafanya zamani, kufukaza ngiri, kuchonga vipago vya kuwindia visota na shorwe bwenzi, kukimbia mbwa mwitu, kuingiliwa ndani na chui usiku. That stone age life!!
Maisha ya nyikani. Mwituni. Hardscrabble lion-fighting jungle life!!
Now he wants to change that. To modernity. Ha aa aaa aaaa!
So, so, the self-made Wall Street investment banker alitoka kwenye the jungles of Savanna grassland in the hinterland of South Africa and by his own bootstraps, rose to the ranks of "Senior Investment Banker" in Wall Street down in Charlotte, North Carolina!!
Bushman to Broker-man to philanthropist story! Ha haa aaaaa!
I mean, you couldn't write a better script.
Nionyeshe nilipomchukulia "out of context"!