John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.
Samahani kwa kwenda nje ya mada ila John Mashaka ni nani?
 
Wakuu,,

When you come, especially publicly, better come correct.What is said and how it is said are not two things but two sides of the same coin.SSikupata muda mzuri wa kugusa substance ingawa nimeangalia kwa haraka nikaona matatizo.Nilijaribu ku adress hivyo hivyo ndiyo maana nimetoa mfano wa hiyo article ambayo Steve amesema ingekuwa vizuri niitoe tarehe.Kwa hiyo hapo sijamaliza, ni mwanzo tu.NNimeangalia lugha na vitu fulani vilivyo obvious kabisa.Nikitaka kuchukua darubini na kuonyesha mambo mengine, pamoja na predicament yetu itabidi kunichukua muda kwenye PC na mie sasa hivi niko mbali na PC.You guys have me posting from my cell.SSorry for any typos.
 
Watu bwana JM kawaambia anagombea ubunge?
 
Just out of curiosity....do you hold a PhD in linguistics or something Ngugi? The dissection you did on that article was wicked! Pheeeeew!
 
Kukosoa na kurushia madongo kazi na juhudi za wengine ni kazi rahisi sana. Kuanza kufanya jambo (taking the initiative) ambalo wengi hawajaanza kufanya ni kitu kingine kabisa. Sikatai kuwa constructive criticism ni nzuri, lakini nahisi wengi hapa wanafurahia kukosoa ili mkosolewaji aonekane hamnazo ili mradi wamefurahisha nafsi zao........
 
Watu bwana JM kawaambia anagombea ubunge?

Hajatuambia.

Wapambe wake wametuletea hoja kwamba jamaa awe Mbunge. Sisi tunachambua kama kweli anatufaa.

His latest move, katoa ushauri kwa Watanzania jinsi ya kupambana na global financial crisis, yeye akiwa kama "Wall Street" investment banker, lakini ushauri wake ni fyongo na hakuna Wall Street North Carolina kama anavyodai!!!

Ana matatizo ya ukweli: kadai kwenye gazeti la Salisbury, North Carolina kwamba yeye ni Bushman na hataki kurudi kufukuzana na wanyama Afrika!!! (hapa.)

Anaficha details za mfuko wa foundation yake: kadai mbele ya camera za Daily News la Tanzania kwamba foundation yake bado haijaandikishwa wakati ilishaandikishwa North Carolina kitambo (hapa) na tayari yeye kama mwenye hii foundation anachangisha mpunga kutoka kwa wafanyakazi wa Wachovia, Charlotte, N.C. (hapa).

Zile nyakati za watu kuja Tanzania kusema "Mimi Ndiye" na kupokelewa kama manabii bila kuchambuliwa that time is long gone!!

Sasa hivi kuna Wabongo wametandaa kila kona ya dunia. Ukienda Tanzania ukasema nipeni uongozi kwa sababu nina experience kwa maana nimetoka kuwa mfalme wa Wagalatia, trust me, kuna Watanzania waishio Ugalatia watasema kama Wagalitia wenyewe wanakubali hilo au walikukimbiza Ugalatia kwa nyundo, misalaba na misumari.

Nyakati za wajuba kuja ku take Watanzania for granted na kutugeuza sisi slow that time is long gone!
 
Kazi ipo, Mashaka atarudi kweli?

Masanja: Soma tena analysis ya Pundit, amepiga vyote: content na style.

Yes, I agree with Pundit when you decide to 'drop' a seemingly intellectual piece in a forum that cares about attention to details, such as JF, surely you need to get it right. Otherwise, waungwana watakuteremsha! Hapo KH hajasema kitu, akisema je?

You are missing a point.Mashaka "didn't drop a seemingly intellectual piece" hapa JF,bali mtoa mada amefanya references kuhusu such pieces zilizowekwa kwenye blog mbalimbali.

Nadhani "kosa" pekee la mtoa mada ni kuhusisha makala za Mashaka na wazo (la mtoa mada) kuwa angefaa kugombea ubunge.

Ndio maana maendeleo kwa nchi yetu yanakuwa tatizo kwa vile ukifanya kitu cha kizalendo unaishia kutafsiriwa tofauti.Majuzi Mwanakijiji kashutumiwa kwa kuanzisha mwanakijiji.com eti kwa madai kwamba anataka kuivuruga JF.Mawazo yaleyale ya kudumaza uzalendo kutoka kwa our beloved critics.Ungetarajia hao critics wawe wanakosoa uanzishaji wa website mpya huku wenyewe nao wakiwa na websites za mifano.Lakini wapi.

Kuna mtu kaona uzalendo wa mwenzetu.Kwa mawazo ya mtu huyo akaamini angefaa kuwa mbunge.Mashaka hajatamka kwamba ana nia ya kugombea ubunge.Sasa sijui tatizo liko wapi.

Yayumkinika kuhisi ni dhambi kwa Mtanzania mwenzetu kuwa investment banker na kutumia profession yake kuwashauri wenzie (tena bure) kuhusu masuala mbalimbali ya msingi.Kama Mashaka unapita na kusoma haya,elewa kuwa hii ndio Tanzania na Afrika yetu:tu wepesi wa kushangilia mafanikio ya kina Obama lakini sio ya wazalendo wenzetu.Nahisi kuna wanaosumbuliwa na kuwako kwako Wall Street,sio kwa vile ni mahala pabaya,lakini huenda wangependa wao ndio wawepo hapo na sio wewe.Na laiti wangekuwepo hapo si ajabu wala wasingekuwa na muda wa ku-share experience zao na sie wenzao tunaozihitaji.Word of encouragement,though:ukijadiliwa basi umewagusa watu!

Kwenu wajuzi wa uchumi wa dunia,baada ya kukosoa (it's your constitutional right) sasa tunasubiri mtupatie mitazamo yenu iliyo more polished kuliko ya akina Mashaka.Waiting....
 
Hajatuambia.

Wapambe wake wametuletea hoja kwamba jamaa awe Mbunge. Sisi tunachambua kama kweli anatufaa.

His latest move, katoa ushauri kwa Watanzania jinsi ya kupambana na global financial crisis, yeye akiwa kama "Wall Street" investment banker, lakini ushauri wake ni fyongo na hakuna Wall Street North Carolina kama anavyodai!!!

Ana matatizo ya ukweli: kadai kwenye gazeti la Salisbury, North Carolina kwamba yeye ni Bushman na hataki kurudi kufukuzana na wanyama Afrika!!! (hapa.)

Anaficha details za mfuko wa foundation yake: kadai mbele ya camera za Daily News la Tanzania kwamba foundation yake bado haijaandikishwa wakati ilishaandikishwa North Carolina kitambo (hapa) na tayari yeye kama mwenye hii foundation anachangisha mpunga kutoka kwa wafanyakazi wa Wachovia, Charlotte, N.C. (hapa).

Zile nyakati za watu kuja Tanzania kusema "Mimi Ndiye" na kupokelewa kama manabii bila kuchambuliwa that time is long gone!!

Sasa hivi kuna Wabongo wametandaa kila kona ya dunia. Ukienda Tanzania ukasema nipeni uongozi kwa sababu nina experience kwa maana nimetoka kuwa mfalme wa Wagalatia, trust me, kuna Watanzania waishio Ugalatia watasema kama Wagalitia wenyewe wanakubali hilo au walikukimbiza Ugalatia kwa nyundo, misalaba na misumari.

Nyakati za wajuba kuja ku take Watanzania for granted na kutugeuza sisi slow that time is long gone!

Whaaaat!!!! Look who's talking....

Mbona wewe ukiwa kama "freelance investigator" ulitoa ushauri wa kitabibu kwa watu walio na ndugu kwenye hospitali/ taasisi ya Dokta Masau....na wewe ushauri wako ulikuwa fyongo vile vile....
 
Kwa anayeona criticism yangu kama dongo la gubu hajaielewa.Mara zote nazingatia high standards, kama unataka kutoa ushauri toa katika standards zinazokubalika.

Kama wewe ni Investment Banker weka vitu vya kueleweka kuanzia lugha mpaka content.SSiyo unakuja na lugha iliyojaa makosa huku uki state the obvious bila kutoa a uniquely Tanzanian perspective, una copy paste concerns na solutions unazozisoma katika Business Week kwenye ma FDIC and all that na kutuletea bongo.
 
.......Ana matatizo ya ukweli: kadai kwenye gazeti la Salisbury, North Carolina kwamba yeye ni Bushman na hataki kurudi kufukuzana na wanyama Afrika!!! (hapa.) ................

Baada ya kusoma hiyo article hapo juu, nadhani Kuhani maelezo ya bwana Mashaka umeyachukulia 'OUT OF CONTEXT'
 
Kukosoa na kurushia madongo kazi na juhudi za wengine ni kazi rahisi sana. Kuanza kufanya jambo (taking the initiative) ambalo wengi hawajaanza kufanya ni kitu kingine kabisa. Sikatai kuwa constructive criticism ni nzuri, lakini nahisi wengi hapa wanafurahia kukosoa ili mkosolewaji aonekane hamnazo ili mradi wamefurahisha nafsi zao........

Nadhani Kuhani alikuwa anamaanisha haya maneno yaliyoandikwa na Mashaka mwaka 2000 Quote: "Livingstone’s student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New York’s Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity".
 
...sijui ni kwa nini, (naapa haki ya nani tena siyo madawa wala vinywaji), lakini kila nikiangalia hiyo picha inayofanana na Flav Flavor halafu nikisoma article yake kama ilivyotundikwa hapo juu, namkumbuka Pundit wetu wa JF.... may be the NY banking sector link, ...or may be mambo ya kudhamini watu... i just don't know.. 😕

...Anyway, kutokana na maelezo mengi kule kwa globu ya kaka Michuzi, he seem well connected and with good intentions... agombee tu huo ubunge au wampe walau ule wa viti maalum. ciao

Mbavu sina....

My Take: Huyu abakie hapo alipo, anafanya kazi nzuri...akitaka kuingia kwenye siasa hiyo mizengwe yake hata haya anayoyafanya yanayoonekana leo hayataonekana kabisa.
 
Nyie wakosoaji in chief...hebu wekeni basi na nyie kazi/ maandiko yenu tuyachambue hapa....
 
...nadhani maelezo ya bwana Mashaka, Kuhani umeyachukulia 'OUT OF CONTEXT'

Naona tunaandikia mate.

Kasema hivi:

``Livingstone's student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New York's Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity. ´´

Kwanza tupate facts, nini kilitoka mdomoni mwake, halafu tuongelee hiyo context.

Anasema:
  1. Yeye ni Bushman,
  2. Asingependa - hataki hata kufikiria - kurudi kufukuzana na wanyama kwenye nyika za Afrika.

Sawa ? Hayo ndiyo aliyosema. Sasa twende kwenye "context" yako sasa unayoongelea:

Jamaa anasema, ndoto yake ni kufanya mambo, kufanya kweli, ili atakaporudi kwao, kwa ma-Bushman (South Africa, the last time I checked) aibadilishe iwe katika modernity badala ya kurudi kujikuta anafanya alichokuwa anafanya zamani, kufukuza ngiri, kuchonga vipago vya kuwindia visota na shorwe bwenzi, kukimbia mbwa mwitu, kuingiliwa ndani na chui usiku. That stone age life!!

Maisha ya nyikani. Mwituni. Hardscrabble lion-fighting jungle life!!

Now he wants to change that. To modernity. Ha aa aaa aaaa!

So, so, the self-made Wall Street investment banker alitoka kwenye the jungles of Savanna grassland in the hinterland of South Africa and by his own bootstraps, rose to the ranks of "Senior Investment Banker" in Wall Street down in Charlotte, North Carolina!!

Bushman to Broker-man to philanthropist story! Ha haa aaaaa!

I mean, you couldn't write a better script.
 
Naona tunaandia mate.

Kasema hivi:

``Livingstone's student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New York's Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity. ´´

Kwanza tupate facts, nini kilitoka mdomoni mwake, halafu tuongelee hiyo context.

Anasema:
  1. Yeye ni Bushman,
  2. Asingependa - hataki hata kufikiria - kurudi kufukuza na wanyama kwenye nyika za Afrika.
Sawa ? Hayo ndiyo aliyosema. Sasa twende kwenye "context" yako sasa unayoongelea:

Jamaa anasema, ndoto yake ni kufanya mambo, kufanya kweli, ili atakaporudi kwao, kwa ma-Bushman (South Africa, the last time I checked) aibadilishe iwe katika modernity badala ya kurudi kujikuta anafanya alichokuwa anafanya zamani, kufukaza ngiri, kuchonga vipago vya kuwindia visota na shorwe bwenzi, kukimbia mbwa mwitu, kuingiliwa ndani na chui usiku. That stone age life!!

Maisha ya nyikani. Mwituni. Hardscrabble lion-fighting jungle life!!

Now he wants to change that. To modernity. Ha aa aaa aaaa!

So, so, the self-made Wall Street investment banker alitoka kwenye the jungles of Savanna grassland in the hinterland of South Africa and by his own bootstraps, rose to the ranks of "Senior Investment Banker" in Wall Street down in Charlotte, North Carolina!!

Bushman to Broker-man to philanthropist story! Ha haa aaaaa!

I mean, you couldn't write a better script.

Nionyeshe nilipomchukulia "out of context"!

Kuhani you never know where he mjomba mjomba is coming from, it might be true that kind of life is still existing! Umewahi kusikia kabila moja linaitwa wabarbaig na wafyomi? Bado wanaishi maisha hayo hadi leo, believe me! Kama anataka kwenda kumordenize maisha ya hawa watu, thumb up, maana miaka 45 ya uhuru hawa jamaa bado wanaishi kwenye jungle....stone age life styles. Wanajipaka samli na mtu akifa, wanahama nyumba na kwenda kuanzisha boma sehemu ingine mbali kabisa. Hawa jamaa wanaamini kufa mtu ni mkosihiv .....sielewi bado vizuri. Ni jamii ya kina Mary Nagu au Sumaye. Sasa kama mjomba johnie anatoka huko je?
 
Umewahi kusikia kabila moja linaitwa wabarbaig na wafyomi?....Ni jamii ya kina Mary Nagu au Sumaye. Sasa kama mjomba johnie anatoka huko je?

I don't know about the Johnnie guy but I thought Sumaye ni mmeru na Mary Nagu mbulu.
 
Haya sasa, wale ambao bado hamjaiona interview yake, hii hapa: Courtesy of DailyNews Tz.

[media]http://s256.photobucket.com/albums/hh162/wozupyo/jf%20profiles/?action=view&current=TanzaniaStandardNewspapersHome.flv[/media]
 
I don't know about the Johnnie guy but I thought Sumaye ni mmeru na Mary Nagu mbulu.

Sumaye sio Mmeru (100% sure) na Mary sio Muiraq aka Mbulu (100% sure). Hawa ni wabarbaig wa kule Qatesh, though I stand to be corrected!.
 
Sumaye sio Mmeru (100% sure) na Mary sio Muiraq (100% sure) (Mbulu). Hawa ni wabarbaig wa kule Qatesh, though I stand to be corrected!.

Now,this is news to me.
Thanks.
 
Naona tunaandia mate.

Kasema hivi:

``Livingstone’s student body is composed of young men and women from all walks of life, ranging from sub-Saharan Africa Bush-men (which includes me) to New York’s Bronx. As a former member of the jungle, it has not entered my mind to go back and chase animals in the wilderness of Africa. My dream is to return there someday and transform tens of thousands of people in my society to modernity. ´´

Kwanza tupate facts, nini kilitoka mdomoni mwake, halafu tuongelee hiyo context.

Anasema:
  1. Yeye ni Bushman,
  2. Asingependa - hataki hata kufikiria - kurudi kufukuzana na wanyama kwenye nyika za Afrika.

Sawa ? Hayo ndiyo aliyosema. Sasa twende kwenye "context" yako sasa unayoongelea:

Jamaa anasema, ndoto yake ni kufanya mambo, kufanya kweli, ili atakaporudi kwao, kwa ma-Bushman (South Africa, the last time I checked) aibadilishe iwe katika modernity badala ya kurudi kujikuta anafanya alichokuwa anafanya zamani, kufukaza ngiri, kuchonga vipago vya kuwindia visota na shorwe bwenzi, kukimbia mbwa mwitu, kuingiliwa ndani na chui usiku. That stone age life!!

Maisha ya nyikani. Mwituni. Hardscrabble lion-fighting jungle life!!

Now he wants to change that. To modernity. Ha aa aaa aaaa!

So, so, the self-made Wall Street investment banker alitoka kwenye the jungles of Savanna grassland in the hinterland of South Africa and by his own bootstraps, rose to the ranks of "Senior Investment Banker" in Wall Street down in Charlotte, North Carolina!!

Bushman to Broker-man to philanthropist story! Ha haa aaaaa!

I mean, you couldn't write a better script.

Nionyeshe nilipomchukulia "out of context"!

mmemchukulia 'OUT OF CONTEXT'.......its soo clear!kubali,sio kuendelea kutetea 'upumbavu' wako.....unaendelea kujishushia hadhi......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom