John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.

Mswahili=Mtalii=Chinga,

Mbona wewe ulivyorudi hapa nyumbani watu hawajasema kitu? Hivi unajua sababu gani hasa ilifanya urudishwe hapa licha kupandishwa cheo chako. Wewe ulikuwa hatari kwa Watanzania huko UK na ndio maana "jamaa" yako akaamua kukuondoa hasa baada ya ukabila wako na chuki yako dhidi ya Wachagga ilivyodhihirika.

Malalamiko dhidi yako yameanza kufika hata "huku" kuwa unawanyanyasa watu wenye asili ya uchagga kwa sababu ya chuki yako dhidi ya watu wa kabila hilo kwa sababu ambazo "unazijua" (of course na mimi ninazijua)

Wakati wengine tunampinga Mwanakijiji kwa ajili ya kutetea unga wetu, wewe unampinga kwa sababu anaindama serikali ya "mtu wako" na wenzako mmekuwa mkitafuta jinsi ya kumzima na ndio maana mipango yenu siachi kumuwekea hapa wazi; kwani kwetu "sisi" mwanakijiji ni bora aendelee kukaa huko huko Marekani kama "mkimbizi" kuliko kurudi huku maana akirudi atawaziba kina Zitto na Mnyika kwani hawa tunao mkononi hawaendi popote.

Wewe endelea na ufisadi wako hapo foreign na dawa yako iko jikoni maana wachagga na wakristu wanaopita chini yako wanajua jinsi ulivyo na roho ya kisasi hasa anga zako zinapotishiwa.

Asante.
 

Siamini kama Chinga anafanya foreign kwa lugha yake. pia hapo bi senti unachochea udini na ukabila foreign ina maana Membe na Mombo ambao wote ni wakristu watakubali kuona waksritu wanaonewa? kwa ufahamu wangu katibu mkuu na waziri wote ni wakristu la uchagga silijui vizuri, lakini Mwanakijiji si mchagga.
 
sasa kusema mwanakijiji si mchagga ni ufunuo wa aina gani wakati umenibambikia vitu kadhaa ambavyo si vya ukweli? Nikiseme wewe si Mkenya what are the chances that I might be right?

mbona watu wengi wamekuwa wakihisi kabila langu; sidhani kama una kigeni hapo.
 
_____________________
 
...sijui ni kwa nini, (naapa haki ya nani tena siyo madawa wala vinywaji), lakini kila nikiangalia hiyo picha inayofanana na Flav Flavor halafu nikisoma article yake kama ilivyotundikwa hapo juu, namkumbuka Pundit wetu wa JF.... may be the NY banking sector link, ...or may be mambo ya kudhamini watu... i just don't know.. 😕

...Anyway, kutokana na maelezo mengi kule kwa globu ya kaka Michuzi, he seem well connected and with good intentions... agombee tu huo ubunge au wampe walau ule wa viti maalum. ciao
 
Hapa bwana Mashaka anawalenga waTz na East Africans walio Tanzania au walioko Marekani na nchi nyingine nje ya Tanzania?

Aliyeelewa naomba anieleweshe.
 
Sasa kama hata hao "US Based Investment Bankers" wetu ndiyo mambo yao hivi ngoma yetu kubwa kuliko nilivyofikiri. Maana mi nilikuwa nafikiri ni Kikwete na kukosa exposure kwake, kumbe matatizo mengine huwezi kuyatatua ukubwani.

Don't make me dissect this now y'all.

Kuhani kwa nini unapenda ku tempt watu namna hii lakini?
 

Go right on ahead with your loquacious self.....
 
I'm waiting for Pundit to machette murder this artcle......
 
I'm waiting for Pundit to machette murder this artcle......

Hahaha, such an appetite for destruction. Ushaambiwa John Mashaka ndiye Pundit, probably kwenye conference call na Wall St types wake na hawezi kujimaliza sasa hivi.

Atajimaliza mara baada ya kumaliza call.

I am insulted kwamba Steve kamfananisha huyu joker na Pundit.
 

Naaw man....wewe sio John Mashaka bana.....
 

Please accept my apologies as my comment above somehow according to you have crossed the line. Samahani.

Naomba unielewe tu kuwa nimesema hivyo kutokana na kusoma posts zako nyingi na kuamini kwangu kuwa uko very proficient na kuongelea mambo ya uchumi. Hivyo basi nilitegemea kufananisha huko kunge prompt rebuttal dhidi ya yale aliyoandika huyo Mashaka. Katika hili la uchumi, please do believe me; i did not want to compare you with the guy at all.

Kwenye kufanana na Flav Flavor, huku i allow you to issue me my deservingly punishment. Kwani niliandika hivyo kwa kupiga taswira jinsi vile unavyoongelea mambo ya miziki and the industry in general.... Hiyo picha kama ilivyotundikwa hapo juu kwa kweli inanikumbushia Flav Flavor wa The Public Enemy, lakini pia nimeandika kwa mfananisho huo kwani ulishawahi kuongelea jinsi vile Mh. Pinda alivyo vaa suit ya ajabu ajabu kwenye Bunge siku zile anateuliwa kuwa waziri mkuu... na uliongelea jinsi ambavyo anatakiwa ajue kuvalia nguo zenye hadhi yake. Kingine ni kule kuongelea kwako mambo ya 80/20 na jinsi wewe unavyoweza kuwa victim wa may be 90/10... Sasa sababu ya mimi kunifanya niyaingize haya ya mavazi ni jinsi vile huyo jamaa aliwahi kuongelea mambo ya maladhi n.k. kwenye moja ya mahojiano yake alipokuwa hapa Tanzania.

Sorry dude. I mean it.

SteveD.
 

I don't think you are sincere....unauma na kupuliza....Lol
 
...Anyway, kutokana na maelezo mengi kule kwa globu ya kaka Michuzi, he seem well connected and with good intentions... agombee tu huo ubunge au wampe walau ule wa viti maalum.

SteveD,

Ma pundits wa kule kwa Michuzi waki mu-endorse, let's say, Mhe. Waziri Ali Juma Shamhuna au Mhe. Waziri Celina Ompeshi Kombani kugombea Urais wa Jamhuri 2010, watu ambao labda hujui wasifu wao au hata hujawahi kuwasikia, na wewe utadandia hilo bandwagon la wachambuzi wa kwa Michuzi ?

Kama huyu mtu yuko "well connected," according to hao ma pundit wa kwa Michuzi hicho kitu hakiendani na spirit ya JF ya kulaani "vimemo culture," na political patronage na influence peddling na mitandao ya vilaza, na corrupt alliances nyingine zozote. Tuambiwe lingine. Lakini so far, uchambuzi wa credit crisis wa huyu "mbunge mtarajiwa kutoka Wallstreet," hauendani na wasifu wake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…