Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
The article is excellent to you, not necessarily to everyone else. Hii sio mara ya kwanza Pundit kuchambua, huchambua hata michango ya members humu, nachelea asijekuchambua na wewe.
Hapa ni JF, people dare to talk openly, ukibore unaambiwa, ukiwa sawa unaambiwa vile vile. Mambo ya wivu ni kwenye kitchen party, sio hapa JF.
Inategemea na kipimo chako cha mafanikio. Kipimo kinaweza kuonyesha best kwako kwa mwenzio kikawa least. Una uhakika gani kama huyo Pundit hasaidii watanzania wenzake, au hadi atangaze?
Mind you, katika dunia ya leo hakuna utakachofanya umridhishe kila mmoja, kila mtu na mtazamo wake. Mtu akinicriticise cha kwanza nitakachofanya ni kumshukuru. Kwa sababu gani? najua mtu huyo ananijenga. Nitachukua hizo critics kama challenge ya kunifanya nijitahidi ili nifanye vizuri zaidi na sio kunikatisha tamaa.
I beg to differ.Hivi Mama,unapokaa chini na kuandika kitu kwa ajili ya Watanzania wenzako,then anajitokeza mtu kuku-criticize,not based on content ya ulichokiandika,bali grammar na casting doubts on your career,would you still regard kuwa huyo mtu anakujenga?Kumjenga mtu ni kumsahihisha pale inapobidi kisha kuandika namna ilivyopaswa kuwa.Let's not forget sie sio Waingereza,na hata miongoni mwa hao Waingereza wenyewe kuna wengine wanaohangaishwa na lugha yao,kama ambavyo baadhi yetu tunavyosumbuliwa na Kiswahili.
Criticism is good but only of it's constructive.Pia ni kweli kwamba si rahisi kumridhisha kila mmoja but what if hujafanya kitu kwa minajili ya kumridhisha mtu?Kwa mtizamo wangu (pengine finyu) maandiko ya Mashaka hayakulenga kumridhisha mtu bali kuwahabarisha Watanzania wenzake walio ndani na nje ya Tanzania kuhusu matatizo ya uchumi wa dunia.Na hilo ni tatizo kwa jamii zetu za kiafrika: kutaka kuridhisha mtu/watu.What's important is doing the right thing,and not pleasing people (na mfano mzuri ni kesi za EPA,je turidhishwe au tutendewe the right thing?)
Hapa ni majungu tupu. Mashaka kwashinda wameanza kulia machozi ya damu.
Huyu ni mtoto mdogo sana, ila anafanya mambo makubwa sana, tungempongeza badala ya kujaribu kumvuta kushoto na kulia ili aanguke. Hii ndiyo desturi ya watanznaia.
]Itabidi pia tumualike JM huko ili avute hawa wanaopotoshwa na waosha vinywa wachovu JF. Wazidi kulia tu
Jamani karibuni kwa mwanakijiji.............................................
INTERVIW KABAMBE NA JONI MASHAKA, KARIBUNI MSIKILIZE
/
wewe mama choka ile mbaya rudi bongo. Sura imeanza kuvaa wrinkles ! ndo maana unachukia hata vitoto vidogo kama JM.
Kachambe kule, mnachafua hali ya hela kwa watuwanaosaidia bibi zenu na watoto mliotupa majalalani
Watoto uliowatupa chooni bado wako hai. Ni wazima, wanatunzwa na hela za wadau kama JM........
#161
dots connected from the first place, ..........benefit of doubt.
wee mama, naelekea kwenye boxi.... ila usizidi kuwanyonga vitoto na kuwatumbukiza kwenye chooo
... hawa ni wazushi waliochoka kuosha mikundu ya wazungu.
Mama umeshawaza kama kazi yako I salama? ukikosa nauli kurudi bongo tutakuchangia
wewe Mama choka ile mbaya rudi Bongo. Sura imeanza kuvaa wrinkles ! ndo maana unachukia hata vitoto vidogo kama JM.By the way, wanagpi umewatupa kwa hesabu za haraka haraka? kwa taarifa yako, JM anawalisha Bongo !!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kachambe kule, mnachafua hali ya hela kwa watu wanaosaidia bibi zenu na watoto mliotupa majalalani
ha ha ha aaa, usisahau kuwapelekea reviewers kabla hujapublish.
Kazi njema.