Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa mabalozi, ambao wamewekewa kikanuni kwamba waandikishaji ni watumishi wa umma.
Ameonya kuwa baadhi ya watumishi wa umma wasio waadilifu wanaweza kushawishiwa na mbinu hizi haramu kwa lengo la kuwahamisha wapiga kura wasio halali na kuwaingiza katika daftari la wapiga kura.
Kwa kukabiliana na hali hiyo, Mnyika amesema kuwa CHADEMA itakuwa na mawakala wao katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya kuhakikisha uangalizi wa karibu na kuhakikisha haki inatendeka.
Mnajidanganya tu hamna manpower ya kutosha kudhibiti hilo kwanza nani kawaambia watu wanampango huo mnashindwa kuhamasisha wanachama wenu wajiandikishe kwa wingi mnaanza kutafuta sababu wakati watu wenu hawajiandikishi kupiga kura
Nyie jikiteni kwenye chaguzi za ndani na kujifungia makanisani wakati CCM walikuwa busy kuhamasisha wanachama wao na wakereketwa subirini kitu kizito cha kichwa tuuuuuumh nyota nyota!
Nyie jikiteni kwenye chaguzi za ndani na kujifungia makanisani wakati CCM walikuwa busy kuhamasisha wanachama wao na wakereketwa subirini kitu kizito cha kichwa tuuuuuumh nyota nyota!
Nyie jikiteni kwenye chaguzi za ndani na kujifungia makanisani wakati CCM walikuwa busy kuhamasisha wanachama wao na wakereketwa subirini kitu kizito cha kichwa tuuuuuumh nyota nyota!
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa mabalozi, ambao wamewekewa kikanuni kwamba waandikishaji ni watumishi wa umma.
Ameonya kuwa baadhi ya watumishi wa umma wasio waadilifu wanaweza kushawishiwa na mbinu hizi haramu kwa lengo la kuwahamisha wapiga kura wasio halali na kuwaingiza katika daftari la wapiga kura.
Kwa kukabiliana na hali hiyo, Mnyika amesema kuwa CHADEMA itakuwa na mawakala wao katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwa ajili ya kuhakikisha uangalizi wa karibu na kuhakikisha haki inatendeka.
Yeye na Chadema yake wanapoteza muda wao bure kabisa.
CCM kuendelea kubaki madarakani au kushinda uchaguzi wa siasa hapa Tanzania haitegemei kupigiwa kura na mtu yoyote yule.

Hivi hawa sisiemu hawawezi kufanya uchaguzi bila wizi? Kila uchaguzi lazima wafanye mikakati ya wizi wa kura ,wao si wanajenga barabara,wanaleta maendeleo ,wanafanya mambo makubwa hadi wananchi wanawakubali ,sasa wizi wa kura wa nini?