Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa utakaofanyika Januari 2025.
Mnyika amesema mchakato wa uchaguzi ndio umefunguliwa na uchukuaji fomu ndio umeanza.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo
Mnyika amesema mchakato wa uchaguzi ndio umefunguliwa na uchukuaji fomu ndio umeanza.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu za kugombea na kutoa mwongozo