Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Ni Wakili wa huyo mtoto wa Rais hadi ukereke akitajwatajwa na SAGAI GALGANO ?Mimi ni Mwashambwa na mwana CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Wakili wa huyo mtoto wa Rais hadi ukereke akitajwatajwa na SAGAI GALGANO ?Mimi ni Mwashambwa na mwana CCM
Bila shaka umechanganyikiwaMods Active , Moderator tafadhalini sana, hawa wanaoanzisha nyuzi zinazohusu fulani kusema kitu fulani halafu wanaandika maelezo marefu bila ya kuweka ushahidi wa video,sauti au barua rasmi ya kiofisi kuhusu hayo maelezo, muwe mnawapiga ban tafadhali sana, maana wengi wanawalisha watu maneno.
Kwa nini mtu akimbilie kuanzisha uzi huku akinukuu maneno ya mtu bila kuweka ushahidi wa huyo mtu akiyasema hayo!!??
NdioNi Wakili wa huyo mtoto wa Rais hadi ukereke akitajwatajwa na SAGAI GALGANO ?
MBOWE na CHAWA wake wanafanya kila wafanyalo kumchafua na kumaliza Tundu Lissu.Ndugu zangu Watanzania,
Siwezi neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Weka video akiyasema hayo tafadhali.Bila shaka umechanganyikiwa
Unazungumziaje suala la mkutano mkuu wa CCM kudoda watu wako busy na CDMSema
Mkutano mkuu wa CCM ndio habari ya Mjini kwa sasa .kila kona ni habari za CCM tu.vyombo vyote vikubwa vya habari kutoka ndani na nje ya Nchi vimeweka kambi Dodoma.Unazungumziaje suala la mkutano mkuu wa CCM kudoda watu wako busy na CDM
Mbona unatetemeka mkuu?!!!! CCM inakunyima usingizi?!!! Vumilia tu, hilo lidude limeshapea.MBOWE na CHAWA wake wanafanya kila wafanyalo kumchafua na kumaliza Tundu Lissu.
Leo CCM walipandikiza mwandishi wao Kijakazi akamtege Tundu Lissu. Kilichotokea ni aibu kwa CCM, aibu kwa mwandishi mwenyewe, aibu kwa Clouds Media Group, na aibu kwa tasnia nzima ya habari nchini.
Anze wewe chawa wahed, kunywa sumu UFE WEWE, maana huna tija wala faida yoyote kabisaa 🚮Kama una hasira kunywa sumu UFE kabisa maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
Kwan Lucas mbona kweny mtandao ni Wenje vs Lema na Lissu vs Mbowe tu au ww unatumia mitandao ambayo sisi watz hatuitumii?Mkutano mkuu wa CCM ndio habari ya Mjini kwa sasa .kila kona ni habari za CCM tu.vyombo vyote vikubwa vya habari kutoka ndani na nje ya Nchi vimeweka kambi Dodoma.
Wewe kapuku umeshasoma mahali nimemwita mama? Wewe na njaa zako ndiyo kila siku mama mama mama, pumbavu kabisa wewe. Naridhika na Mama na Baba yangu wamenilea na kunipa maisha bora ndiyo maana mimi siyo chawa kama weweWewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili
We uchawa unakusumbua.Wewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili
Sizani hata kama wazazi wako wanajivunia uwepo wa wewe hapa Duniani.maana hujitambui kabisa.upo upo tu.Wewe kapuku umeshasoma mahali nimemwita mama? Wewe na njaa zako ndiyo kila siku mama mama mama, pumbavu kabisa wewe. Naridhika na Mama na Baba yangu wamenilea na kunipa maisha bora ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe
Mimi sina njaa maana ni MkulimaWe uchawa unakusumbua.
Wenzio wananengua huko Dodoma wewe unakesha jf.
Njaa itakuua
Huyu kapuku hakupata malezi bora ndiyo maana anatamani Samia angekuwa mama yake mzazi.Ni Wakili wa huyo mtoto wa Rais hadi ukereke akitajwatajwa na SAGAI GALGANO ?
Mimi wazazi wangu walinilea vizuri ndiyo maana sitamani wazazi wa watu wengine kama wewe boya.Sizani hata kama wazazi wako wanajivunia uwepo wa wewe hapa Duniani.maana hujitambui kabisa.upo upo tu.