John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

Weka video au barua ambayo ni ya kiofisi yenye maneno hayo ya Mnyika tafadhali.

Maana watu mmekuwa mnawalisha maneno wengine bila hata ya aibu.
 
Bila shaka umechanganyikiwa
 
MBOWE na CHAWA wake wanafanya kila wafanyalo kumchafua na kumaliza Tundu Lissu.

Leo CCM walipandikiza mwandishi wao Kijakazi akamtege Tundu Lissu. Kilichotokea ni aibu kwa CCM, aibu kwa mwandishi mwenyewe, aibu kwa Clouds Media Group, na aibu kwa tasnia nzima ya habari nchini.
 
Kuna watu wanafiki aisee, fasta wamekimbilia kwa wenje.........washajisahaulisha hoja yao ya ubadhirifu kwa mwenye kigoda.
 
Unazungumziaje suala la mkutano mkuu wa CCM kudoda watu wako busy na CDM
Mkutano mkuu wa CCM ndio habari ya Mjini kwa sasa .kila kona ni habari za CCM tu.vyombo vyote vikubwa vya habari kutoka ndani na nje ya Nchi vimeweka kambi Dodoma.
 
Mbona unatetemeka mkuu?!!!! CCM inakunyima usingizi?!!! Vumilia tu, hilo lidude limeshapea.
 
Wewe kapuku umeshasoma mahali nimemwita mama? Wewe na njaa zako ndiyo kila siku mama mama mama, pumbavu kabisa wewe. Naridhika na Mama na Baba yangu wamenilea na kunipa maisha bora ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe
 
We uchawa unakusumbua.
Wenzio wananengua huko Dodoma wewe unakesha jf.
Njaa itakuua
 
Wewe kapuku umeshasoma mahali nimemwita mama? Wewe na njaa zako ndiyo kila siku mama mama mama, pumbavu kabisa wewe. Naridhika na Mama na Baba yangu wamenilea na kunipa maisha bora ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe
Sizani hata kama wazazi wako wanajivunia uwepo wa wewe hapa Duniani.maana hujitambui kabisa.upo upo tu.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu tuhuma zilizotolewa na Ezekia Wenje mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho, juu ya kampeni ya Join the Chain, akisisitiza kuwa kampeni hiyo ilikuwa na malengo halali ya kuendesha shughuli za chama.

Mnyika ameeleza kuwa Join the Chain ilikuwa kampeni maalum iliyoanzishwa na CHADEMA kati ya Februari na Mei 2022 kwa lengo la kukusanya fedha za kugharamia shughuli za chama, hususan Mkutano wa Baraza Kuu la Mei 2022.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…