PreGE2025 John Mnyika amtaka IGP kuwajibika na kutoa taarifa halisi ya viongozi wa CHADEMA waliokamatwa na kuteswa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Tunamtaka mkuu wa jeshi la polisi Tanzania IGP, kama haya matendo hayana baraka zake ajitoze yeye mwenyewe atoe taarifa kwa umma, juu ya matukio ya kupigwa kuteswa kuumizwa kwa wanachama na viongozi wa CHADEMA akitaja idadi halisi, akitaja sababu sababu ya hali hizo na kuwajibika kutokana na hayo"

Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika ametoa kauli wito huo leo Aprili 30, 2025 makao makuu ya chama hicho.

Pia soma Muliro awakana Makada wa CHADEMA wanaodai kuteswa, kutupwa porini
 
mhuni mmoja we mnyika yaani IGP umwamrishe kitoto hivyo? mkuu wa police nchi nzima? subiri ukamatwe ukalambishwe kinyesi ndiyo utafurahi na roho yako hilo ni jeshi siyo unaongea kama unaongea na mchumba wako
 
Haya ni matokeo ya kusikiliza sports na singer tangu asubuhi mpaka jioni.
Huna unqchokijua kuhusu haki za watu
 
Mnyika akimaliza tu hotuba anakimbilia kanisani.
 
mhuni mmoja we mnyika yaani IGP umwamrishe kitoto hivyo? mkuu wa police nchi nzima? subiri ukamatwe ukalambishwe kinyesi ndiyo utafurahi na roho yako hilo ni jeshi siyo unaongea kama unaongea na mchumba wako
Bwege
 
Or anaweza fungua kesi mahakaman kwa ushahidi uliopo, wahusika wachukuliwe hatua
 
Huyo IGP na wengineo hawatowajibika!wala kuwajibishwa
UZuri nature huwa inafanya kazi yake

Ova
 
Back
Top Bottom