John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
1619180925530.png

1619181042652.png
1619181060222.png

Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
 
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020.
Image

Chanzo:John Mnyika on twitter.
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
 
Salary slip pole naona una weweseka Sasa hii ndio ushahidi? [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Naona hujui maana ya dispatch. Anaepokea barua ndio anasaini kwenye dispatch ya yule aliyeleta barua kama uthibitisho kuwa amepokea. Kwa sababu hiyo ni sahihi kabisa kama hicho kitabu ni cha mbunge wa Kibamba. Dispatch ya Bunge inatumika kwa barua zilizotoka Bunge.

Amandla...
 
Spika alishatolea ufafanuzi hili bungeni. Barua ya Mnyika haikuwa na viambatanisho. Muhtasari wa kikao kilichomfukuza uanachama wala barua ya kujiuzuru ya mbunge husika.
 
Back
Top Bottom