JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Sakata la wabunge wa viti maalum kutoka CHADEMA linaendelea, hiyo ni baada ya Spika mpya, Tulia kuzungumzia uhalali wao kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jana Februari 14 wakati akizungumza na wahariri.
Tujikumbushe hizi ndizo barua na documents ambazo CHADEMA inadaiwa kuwa waliziwasilisha bungeni mwaka jana kuhusu kufukuzwa kwa wabunge kina Halima Mdee na wenzake 18.
Tujikumbushe hizi ndizo barua na documents ambazo CHADEMA inadaiwa kuwa waliziwasilisha bungeni mwaka jana kuhusu kufukuzwa kwa wabunge kina Halima Mdee na wenzake 18.