Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kama hujawahi hata kupiga kura umejuaje kama hao hawajafukuzwa chama?Uzuri mimi sina chama na wala sijawahi maisha yangu kupiga kura, sasa nimeona hiyo barua na sijui dispatch signature utasema kitabu cha maombolezi hata hujui nani ka sign yoyote anaweza kufake, nimeona clip nyingine huyo speaker anasema barua haina viambatanishi ya vikao sasa hilo nalo gumu la kupeleka.
Haujapiga kura kwani kodi hulipi ambayo inatumika vibaya kulipa watu vibaya kinyume cha sheria?
Una akili ndogo sana