Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu bibi ni mhujumu uchumi no 2 baada ya Ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu bibi hafai kabisa kuwa kiongozi hata kwa dak 1Maandishi hayafutiki halafu hayaongopi
Unataka waje wafanyie nyumbani kwako hiyo live conference ya kuwafukuza uanachama ndiyo uamini kuwa walishafukuzwa?Mimi nawalaumu Chadema katika hili, wanashindwa nini kuweka hadharani barua ya chama kuwafukuza hawa kikatiba ya chama chao kwa kufuata kanuni na sheria zao tena iwe live conf maana karatasi unaweza kusema fake wamekaa kimyaa tu mimi nadhani wako Chadema nao wanahusika na ujinga huu, mengine wepesi kuongea lakini hili utasema hawapo.
Yupo mmoja anaogoza genge la wahuni DomBibi kizee gani tena huyo??!!😲
Barua ishawekwa hadharani na dispatch iliyosainiwa kuonyesha kupokelewa kwa barua hiyoMimi nawalaumu Chadema katika hili, wanashindwa nini kuweka hadharani barua ya chama kuwafukuza hawa kikatiba ya chama chao kwa kufuata kanuni na sheria zao tena iwe live conf maana karatasi unaweza kusema fake wamekaa kimyaa tu mimi nadhani wako Chadema nao wanahusika na ujinga huu, mengine wepesi kuongea lakini hili utasema hawapo.
Hata sijui ilikuwaje nikawa raia wa TanzaniaView attachment 1761599
Taarifa ya Naibu Spika
View attachment 1761600
My Take
Kwa lugha rahisi Mheshimiwa Spika ni muongo
Yupo mmoja anaogoza genge la wahuni Dom
Nenda kamwangalieBibi kizee anaongoza genge la wahuni???!!, hao wahuni nao ni wazee kama yeye??!!
Hata sijui ilikuwaje nikawa raia wa Tanzania
SawaWeka picha yake hapa tumuangalie.
hii aibu tunaibeba wote,sisi wenye akili timamu na ile mijitu mijingaHata sijui ilikuwaje nikawa raia wa Tanzania
Moja ya ubongo zilizoliwa na fangasi utawala ulopita...Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Itakuwa nafuu sana kwanguWewe ni Mkenya kama hujui nenda kawapeleleze wazazi wako.
Tulia Ackson akijibu hili najiuzuluKama hawakufukuzwa rufaa waliokata inahusi mini??
Natabiri kuna siku Ndugai atakamatwaUsicheze na Mnyika, ana rekodi zote.