John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Mimi nawalaumu Chadema katika hili, wanashindwa nini kuweka hadharani barua ya chama kuwafukuza hawa kikatiba ya chama chao kwa kufuata kanuni na sheria zao tena iwe live conf maana karatasi unaweza kusema fake wamekaa kimyaa tu mimi nadhani wako Chadema nao wanahusika na ujinga huu, mengine wepesi kuongea lakini hili utasema hawapo.
Unataka waje wafanyie nyumbani kwako hiyo live conference ya kuwafukuza uanachama ndiyo uamini kuwa walishafukuzwa?
 
Mimi nawalaumu Chadema katika hili, wanashindwa nini kuweka hadharani barua ya chama kuwafukuza hawa kikatiba ya chama chao kwa kufuata kanuni na sheria zao tena iwe live conf maana karatasi unaweza kusema fake wamekaa kimyaa tu mimi nadhani wako Chadema nao wanahusika na ujinga huu, mengine wepesi kuongea lakini hili utasema hawapo.
Barua ishawekwa hadharani na dispatch iliyosainiwa kuonyesha kupokelewa kwa barua hiyo
 
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Moja ya ubongo zilizoliwa na fangasi utawala ulopita...
 
Back
Top Bottom