John Mnyika amuumbua Spika kwa kutoa ushahidi wa Ofisi ya Spika kupokea barua ya CHADEMA kuwavua ubunge wanachama wake

Uzuri mimi sina chama na wala sijawahi maisha yangu kupiga kura, sasa nimeona hiyo barua na sijui dispatch signature utasema kitabu cha maombolezi hata hujui nani ka sign yoyote anaweza kufake, nimeona clip nyingine huyo speaker anasema barua haina viambatanishi ya vikao sasa hilo nalo gumu la kupeleka.
Kama hujawahi hata kupiga kura umejuaje kama hao hawajafukuzwa chama?

Haujapiga kura kwani kodi hulipi ambayo inatumika vibaya kulipa watu vibaya kinyume cha sheria?

Una akili ndogo sana
 
Mwanachama anafukuzwa na kamati kuu
Ok speaker kaomba viambatanisho ya vikao na barua yeye kasema barua haikuwa na viambatanisho mbona kazi rahisi tu wampelekee ili Ndungai asiwe na sababu yoyote za kijinga. Mimi binafsi ningependa wale wabunge watolewe sababu wako kinyume cha katiba na sio sawa ila CDM wao wajiongeze peleka file lote usiache mwanya wana sheria wao siwapo.
 
Kama hujawahi hata kupiga kura umejuaje kama hao hawajafukuzwa chama?

Haujapiga kura kwani kodi hulipi ambayo inatumika vibaya kulipa watu vibaya kinyume cha sheria?

Una akili ndogo sana
Ni kweli akili zangu ndogo sana hilo nakiri kweli, sasa wenye akili kubwa mbona Ndungai kawashinda na kwa jeuri na CDM wote wameufyata huu sijui mwezi wa 5 na bado anamtukana mwenyekiti wenu kimyaa.
 
Uzuri mimi sina chama na wala sijawahi maisha yangu kupiga kura, sasa nimeona hiyo barua na sijui dispatch signature utasema kitabu cha maombolezi hata hujui nani ka sign yoyote anaweza kufake, nimeona clip nyingine huyo speaker anasema barua haina viambatanishi ya vikao sasa hilo nalo gumu la kupeleka.
Kumbuka Spika huyo huyo aliwahi kuwaondoa wabunge nane wa CUF ambao walifukuzwa na kundi la Lipumba bila vikao halali vya chama chao.

Wakaenda mahakamani wakashinda lakini bado Ndugai hakuwaruhusu kurejea bungeni.

Watu wenye akili ndogo kama zako ndiyo wanafanya taifa hili liendelee kuongozwa na wapumbavu kama Ndugai
 
Ok speaker kaomba viambatanisho ya vikao na barua yeye kasema barua haikuwa na viambatanisho mbona kazi rahisi tu wampelekee ili Ndungai asiwe na sababu yoyote za kijinga. Mimi binafsi ningependa wale wabunge watolewe sababu wako kinyume cha katiba na sio sawa ila CDM wao wajiongeze peleka file lote usiache mwanya wana sheria wao siwapo.
Kwani anahitaji kikao anahitaji taarifa ya kuwavua uanachama ?

Kanuni za bunge zinataka taarifa siyo minutes za vikao.

Una akili ndogo sana
 
Kumbuka Spika huyo huyo aliwahi kuwaondoa wabunge nane wa CUF ambao walifukuzwa na kundi la Lipumba bila vikao halali vya chama chao.

Wakaenda mahakamani wakashinda lakini bado Ndugai hakuwaruhusu kurejea bungeni.

Watu wenye akili ndogo kama zako ndiyo wanafanya taifa hili liendelee kuongozwa na wapumbavu kama Ndugai
Unajuwa kuna kipindi nilikuwa kama na huruma fulani na wana CDM na sikuwahi kuwapigia kura yoyote hata wa kijani na watu wa karibu walikuwa wananishangaa kuwashabikia CDM kidogo lakini naanza kuwaamini ni bora zimwi ulijualo... ila CDM wabaki kuwa chama za ruzuku tu maana ni wazi hawapendwi kukosolewa.
 
Spika alishatolea ufafanuzi hili bungeni. Barua ya Mnyika haikuwa na viambatanisho. Muhtasari wa kikao kilichomfukuza uanachama wala barua ya kujiuzuru ya mbunge husika.
Kuna mbunge aliyejiuzulu? Umeona imeandikwa wapi hapo? Mbona CCM mnakuwa mbumbumbu sana!!
 
Kwani anahitaji kikao anahitaji taarifa ya kuwavua uanachama ?

Kanuni za bunge zinataka taarifa siyo minutes za vikao.

Una akili ndogo sana
Sasa taarifa akiamua tu katibu mkuu kuandika chochote basi apokee, unatakiwa kuambatanisha vikao kama back up kuwa haya ni maamuzi ya chama sio katibu mkuu. pelekeni minutes za mkutano mbona kazi ndogo tu. mkutano ulikuwa maalumu kuwajadili hawa 19 shoda iko wapi.
 
Unajuwa kuna kipindi nilikuwa kama na huruma fulani na wana CDM na sikuwahi kuwapigia kura yoyote hata wa kijani na watu wa karibu walikuwa wananishangaa kuwashabikia CDM kidogo lakini naanza kuwaamini ni bora zimwi ulijualo... ila CDM wabaki kuwa chama za ruzuku tu maana ni wazi hawapendwi kukosolewa.
Wapi umekosoa ?
 
Na ndio hawa wanaotuambia kuwa Mbowe alilewa kuanguka na kwamba hiyo ndio sababu ya Mbowe kuvunjika Mguu!!

Mods kwenye heading naomba mnisaidie isomeke kuwavua uanachama na si ubunge.
Hii Post Mbona kama vile tarehe ya server za JF ina mawenge? Salary Slip
 
Sasa taarifa akiamua tu katibu mkuu kuandika chochote basi apokee, unatakiwa kuambatanisha vikao kama back up kuwa haya ni maamuzi ya chama sio katibu mkuu. pelekeni minutes za mkutano mbona kazi ndogo tu. mkutano ulikuwa maalumu kuwajadili hawa 19 shoda iko wapi.
Tunatumia sheria na kanuni za bunge siyo utashi binafsi wakwako na spika
 
Sasa tatizo liko wapi? kama mko sawa mbona speaker kawakatalia tena na jeuri juu, nyinyi kama chama mmefanya nini? kupiga kelele nje hamna wanasheria waka washauri? hakuna mahakama maana kishakataa so what is next?
 
Unajuwa kuna kipindi nilikuwa kama na huruma fulani na wana CDM na sikuwahi kuwapigia kura yoyote hata wa kijani na watu wa karibu walikuwa wananishangaa kuwashabikia CDM kidogo lakini naanza kuwaamini ni bora zimwi ulijualo... ila CDM wabaki kuwa chama za ruzuku tu maana ni wazi hawapendwi kukosolewa.
Hatuhitaji huruma za watu wajinga kama wewe tunahitaji haki itendeke kwa watanzania na siyo huruma.

Huruma mtapeana ccm huko vichochoroni kwenu
 
Sasa tatizo liko wapi? kama mko sawa mbona speaker kawakatalia tena na jeuri juu, nyinyi kama chama mmefanya nini? kupiga kelele nje hamna wanasheria waka washauri? hakuna mahakama maana kishakataa so what is next?
Suala la katiba kuvunjwa siyo la CHADEMA pekee ni la watanzania wote.

Ndiyo maana nimesema una akili ndogo sana
 
Hatuhitaji huruma za watu wajinga kama wewe tunahitaji haki itendeke kwa watanzania na siyo huruma.

Huruma mtapeana ccm huko vichochoroni kwenu
CCM ndio watanzania halafu mko nyinyi....
 
Suala la katiba kuvunjwa siyo la CHADEMA pekee ni la watanzania wote.

Ndiyo maana nimesema una akili ndogo sana
Sijakukatalia siasa imeingia lakini nyinyi ndio sina imani na nyinyi kabisa nadhani mijiandae kuwa wapinzani for life.
 
Sasa kama huna imani na sisi unatufuatilia ili iweje ?
 
Spika Ndugai amesema uongo muda mchache uliopita haikuandika barua kwake kumtaarifu juu ya kuwafukuza uanachama wabunge waliofanya utovu wa nidhamu na kukiuka maadili ya chama. Huu ni ushahidi walipokea toka 14 Mei 2020
View attachment 1761491
View attachment 1761492View attachment 1761493
Chanzo:John Mnyika on twitter.
Zaidi soma: Naibu Spika Dkt. Tulia: Jesca Kishoa hii kauli yako either uifute, ofisi ya Spika haina taarifa ya wewe kuondolewa kwenye chama chako
Mods, Huu uzi umeungwa kimakosa na utatoa taarifa yenye mchanganyo kidogo. Ukiangalia tarehe ya kuanzishwa uzi na kinachoelezwa pamoja na vielelezo vilivyowekwa vinakatana mitama. Ni kama uzi ulikuwa unahusu habari ya wabunge wengine lakini sio COVID-19, Rekebisheni.
Screen Shot 2021-04-24 at 11.06.10 AM.png
 
Back
Top Bottom