Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Salary slip pole naona una weweseka Sasa hii ndio ushahidi? [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Naona hujui maana ya dispatch. Anaepokea barua ndio anasaini kwenye dispatch ya yule aliyeleta barua kama uthibitisho kuwa amepokea. Kwa sababu hiyo ni sahihi kabisa kama hicho kitabu ni cha mbunge wa Kibamba. Dispatch ya Bunge inatumika kwa barua zilizotoka Bunge.Ushahidi kuwa hiyo ni dispatch ya Bunge uko wapi? Sio kitabu cha ofisi ya mbunge kibamba hicho? Ushahidi huu ni kama ule wa tukio la Mwenyekiti kuvunjika mguu
Mahakama ya ipi? au mahakama ya uswizi? Mahakama za ccm kuna haki huko?Aupeleke mahakamani. Anauleta hapa ili iweje?
Utabaki kulalamika lalamika tu.Mahakama ya ipi? au mahakama ya uswizi? Mahakama za ccm kuna haki huko?
Ndugai ni DHAIFU yule