#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

Watanzania tunasubiri kwa hamu baraza kuu kumaliza kazi yake ya kutimua covid-19.
Mada nyingine hazifai kabisa kabla ya kuwaondoa covid-19 Bungeni
CHADEMA hamtaheshimika tena fanya kweli ili tuwaunge mkono. mbona siku zinasogea??
 
Watanzania tunasubiri kwa hamu baraza kuu kumaliza kazi yake ya kutimua covid-19.
Mada nyingine hazifai kabisa kabla ya kuwaondoa covid-19 Bungeni
CHADEMA hamtaheshimika tena fanya kweli ili tuwaunge mkono. mbona siku zinasogea??
Nani kati yao ambaye ni mwanachama wa chadema hadi sasa ?
 
Dah [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Hii ni savanna wine wanakunywa.Mnyika wasikupotezee muda.Majibu Watanzania wote tunayo kuwa,walijigawia wakubwa tu.Ndio maana hawana haja ya chanjo.
 
nilijua ataongea kuhusu future ya chama chake, strategies walizonazo kukirudisha chama Chao kwenye taswira ambayo kimsingi imepotea,mpasuko uliopo ndani ya chama chao,namana gani watarudisha Imani ya watz tena kwao hasa baada ya Yule mwenzao kuwasaliti na kukimbilia ughaibuni.n.k,haya yote ameyafunika na kujikika kwenye kitu ambacho kila mtanzania anaujua ukweli.mpaka hapo chadema bado inaendelea kudhibitisha kupoteza mwelekeo na matumaini.
 
Yani press conference ilikuwa ya kuuliza mambo kama hayo? Mi nilidhani labda anakuja kutueleza kuwa chadema wanajiandaa kutoa taarifa ya matumizi ya fedha za ruzuku (kodi zetu) ili wawe mfano wa kuigwa; kumbe ilikuwa kupiga porojo tu!
 
Kabudi na genge lake watapike hela za umma
 
Bila kukamata hawa watu hii nchi hela zake zitaendelea kuchezewa sana
Nataka tu kukuuliza kama umekwishakwenda Kwenye 'Sauna ya Bubiji'; na kama bado utakwenda lini? Ni tsh 5000/ tu mkuu Erythro.

Hizo mashine 5 Muhimbili na mbili Iloga kila moja milioni Saba na ushee!

Usisahau kumkumbusha Katibu mkuu kufuatilia au kuuliza maendeleo ya tiba/utafiti huo.
 
Hii kitu haikutakiwa kuisha kimya kimya. Ilitakiwa watu wawajibishwe. Unachezeaje hela ya umma kijinga hivi halafu unaachwa tu. Hili swala halikubaliki hata kidogo.
Bunduki na mabomu ya machozi waliyoyanunua wananchi na kumkabidhi huyo unayetaka awajibike yatakuwa ya kazi gani kama sio kuwakandamizia hao watakaothubutu kuwajibisha?

Tatizo lipo hapo.

Isingekuwa hivyo, wananchi wangekuwa wamekwisha wawajibisha hawa siku nyingi kwa mambo mengine mazito zaidi ya hiyo togwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…