John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

John Mnyika awajibu kisheria wanaohoji kuhusu CHADEMA kutokusaini kanuni za maadili ya uchaguzi 2025

Mnyika alikuwa hajui impact yake ,kashayakanyaga CDM haitoshiriki uchaguzi mkuu na chaguzi ndogo mpaka 2030!! Kwenye uongozi usijifikirie wewe tu lazima ufanya maamuzi ya win win na si biased.
 
Kwa hiyo design kuna namna ya kuvikomoa baadhi ya vyama kwenye hili suala muhimu sana la kikatiba. Why twajiandaa kukosea kwa makusudi? Wasomi, viongozi wa dini tusaidieni wananchi wote kupata haki yao ya kikatiba. Ubabe haufai na Mungu hapendezwi nao.
 
Back
Top Bottom