Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Hata hizo ARV unazobugia kama karanga zinatoka hukohukoNinyi si mliandamana kwenda UN(umoja wa Mataifa)? Basi kaeni msubiri majibu kutoka UN huko mlikopeleka maoni yenu. Si mlikuwa mnajisifu kufika UN na kufikisha makabrasha yenu? Sasa kwanini mnaanza kulia lia humu tena wakati makabrasha yenu yapo yanafanyiwa kazi umoja wa Mataifa? Wewe si ulisema mtapokelewa na katibu mkuu wa umoja wa Mataifa? Msubirieni katibu mkuu wa umoja wa Mataifa. Maana nyie ni wakurupukaji sana na huwa hamuelewi mfanye nini kwa wakati gani na kwa njia zipi.