Pre GE2025 John Mnyika: Bunge limepuuza maoni ya wadau, linajipanga kupitisha miswada mibovu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hata hizo ARV unazobugia kama karanga zinatoka hukohuko
 
Mimi sijui ninachojua barua yetu ipo UN tuliyoikabidhi trh 24 mwisho!
 
Wabunge wenyewe walipatikana kwa mizengwe pasipo na kura za Wananchi.
Wabunge wenyewe ni wa CCM na mambo yao ya kupitisha miswada na miakataba ya hovyo inajulikana!
Kilichobakia ni sisi Wananchi kwa Umoja wetu kutoka na kusema hapana!
 
Dawa ni kutoshiriki uchaguzi tu wakae wao na serikali yao.
 
We jamaa bogus sana mwashambwa wa wapi unatuaibisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…