K kabombe JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 26,153 Reaction score 18,740 Nov 9, 2020 #341 Coaster2015 said: Hizo CCTV camera zenu huwa haziwezi kuwaona watekaji na wauwaji kama wale waliomshambulia kwa risasi Tundu Lissu pale Dodoma 2017?? Click to expand... ACHA KUHAMISHA MAGOLI SISTER
Coaster2015 said: Hizo CCTV camera zenu huwa haziwezi kuwaona watekaji na wauwaji kama wale waliomshambulia kwa risasi Tundu Lissu pale Dodoma 2017?? Click to expand... ACHA KUHAMISHA MAGOLI SISTER
M Mnasihi JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 7,762 Reaction score 7,100 Nov 9, 2020 #342 Obadia Antony said: Kwann usihamie kwa Biden mkuu Click to expand... Nipo huku tayari, una lingine unalohitaji kulifahamu kutoka huku?
Obadia Antony said: Kwann usihamie kwa Biden mkuu Click to expand... Nipo huku tayari, una lingine unalohitaji kulifahamu kutoka huku?
bullar JF-Expert Member Joined Aug 16, 2014 Posts 9,530 Reaction score 20,988 Nov 9, 2020 #343 Wazolee said: CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge Hiki chama kina ubinafsi sana Click to expand... Unataka waka kwamishe maendeleo? old fart
Wazolee said: CDM ndio mnazidi kupotea hamtaki kuwapa haki wadada wa CDM kupata viti maalumu kisa Mbowe amekosa ubunge Hiki chama kina ubinafsi sana Click to expand... Unataka waka kwamishe maendeleo? old fart