Yaap jamaa alileta list watu tukachukulia poa na hata Halima alimuwakia sana Kigogo ila mambo ndio kama hivyoHapa ndio unapomkubali Kigogo
Lisu yupi Huyu aliyetoa agizo la kuandamana halafu mbio akakimbilia ubalozi wa ujerumani kujifucha ili maandamano yakianza awe safe wengine wakila virungu vya polisi yeye akila bata nyumbani kwa balozi? Huku akisubiri ndege apae zake kwenda ulaya?Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Msaliti wa kwanza ni lisu hakutakiwa kuondoka na kukimbilia inje.Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Yawezekana vyama vyote vya siasa ni projects za 'kitengo'.Duh...!, wajameni hata kama ni kutunga uongo, jaribuni basi, angalau uongo huo ufananie fananie na ukweli!, Jee wakiingia watu wa kitengo humu na kukutajia ndani ya CC ya Chadema nani ni nani!, kutakalika?.
Acheni hizo!.
P
Mnyika ndio anayeteua wabunge wa viti maalumu?Habari wana JF,
Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo Chadema kwa kazi maalum..
Habari wana JF,
Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo CDM kwa kazi maalum.
Kwamba kuna mambo tunayaona lakini chini kwa chini anatekeleza anayoagizwa.
Sasa leo nimeikumbuka stori hii, hasa kwa jinsi swala la viti maalumu lilivyofanyika.
Mimi binafsi nina uhakika 100% kuwa Mnyika ndio kapeleka majina ya wale kinamama. Na anajua kila kitu kinachoendelea. Kule mtandaoni anakojifanya kuhamaki ni danganya toto tu.
Hata leo wakizungumza na wanahabari atasema tu sijui kughushiwa sijui nini, ila uhalisia anajua anachofanya. Mbowe nae anajua na ni mjasiriamali
Tukushukuru Mnyika kwa kusimamia maelekezo ya kitengo-ccm.
Ila ina ma pappet wengi.Vitu vya kipumbavu sana.
Mtu akiongea ukweli mnasema ni wa kitengo.
Akiwa mpole sana ni wa kitengo
Akiwa mchumia tumbo ni wa kitengo.
TISS haina watumishi wengi kama mnavyoongopeana.
Kama watu waliacha kutumainia Sanduku la Kura wakategemea Kura za kwenye Begi kipi kitashindikanaMtashangaa pale mtakapo oneshwa barua ya uteuzi wa majina ya "vitu maalum" ikiwa na hati zote halali. Hii Tanzania watu wanaweza fanya yao mkabaki midomo wazi. Huu ujasiri wa kwenda kuapishwa bila Baraka za Chama, (kama ni kweli hazipo), wanautoa wapi?
Tusubiri tuone
Mnyika hana kosa Mzee... shida ni kwa hao snake language translators
Ha ha ha ha, kazi kweli kweli.[emoji44][emoji44]
Tutakuja kuchinjana kwa misumeno tukiendekeza unafiki
Ngoja ngoma bado mbichi hii...Suala sio kuwa na kosa au lah, kuwajibika na kulinda heshima yake ni muhimu zaidi... unafanyaje kazi katika mazingira kama haya?