Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Lisu yupi Huyu aliyetoa agizo la kuandamana halafu mbio akakimbilia ubalozi wa ujerumani kujifucha ili maandamano yakianza awe safe wengine wakila virungu vya polisi yeye akila bata nyumbani kwa balozi? Huku akisubiri ndege apae zake kwenda ulaya?
 
Ms
Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Msaliti wa kwanza ni lisu hakutakiwa kuondoka na kukimbilia inje.
 
Vitu vya kipumbavu sana.
Mtu akiongea ukweli mnasema ni wa kitengo.
Akiwa mpole sana ni wa kitengo
Akiwa mchumia tumbo ni wa kitengo.
TISS haina watumishi wengi kama mnavyoongopeana.
 
Duh...!, wajameni hata kama ni kutunga uongo, jaribuni basi, angalau uongo huo ufananie fananie na ukweli!, Jee wakiingia watu wa kitengo humu na kukutajia ndani ya CC ya Chadema nani ni nani!, kutakalika?.
Acheni hizo!.

P
Yawezekana vyama vyote vya siasa ni projects za 'kitengo'.
 
Habari wana JF,

Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo Chadema kwa kazi maalum..
Mnyika ndio anayeteua wabunge wa viti maalumu?
 
Habari wana JF,

Mnamo mwaka 2016, nikiwa maeneo na jamaa wengine tukawa tunapiga stori za yaliyojiri katika Uchaguzi wa 2015. Jamaa mmoja niliyemfahamu kama mtu wa 'kitengo' akasisitiza kwamba Mnyika ni mtu wao na yupo CDM kwa kazi maalum.

Kwamba kuna mambo tunayaona lakini chini kwa chini anatekeleza anayoagizwa.

Sasa leo nimeikumbuka stori hii, hasa kwa jinsi swala la viti maalumu lilivyofanyika.
Mimi binafsi nina uhakika 100% kuwa Mnyika ndio kapeleka majina ya wale kinamama. Na anajua kila kitu kinachoendelea. Kule mtandaoni anakojifanya kuhamaki ni danganya toto tu.

Hata leo wakizungumza na wanahabari atasema tu sijui kughushiwa sijui nini, ila uhalisia anajua anachofanya. Mbowe nae anajua na ni mjasiriamali

Tukushukuru Mnyika kwa kusimamia maelekezo ya kitengo-ccm.

Nonsense!!!!!!!!!
 
Hakuna cha salamu!

Huyu Katibu Mkuu ana sababu gani za kuendelea kukaa ofisini?

Kwa mambo yanayoendelea ndani ya chama, na kwa makanusho ambayo amekuwa akiyatoa tangu hatua za awali. Hadi kutimia kwake, bado anaendelea kukanusha!

Katibu Mkuu, umefanywa mjinga kiasi hicho au unaujua ukweli kisha unaamua kujitoa ufahamu na kuwafanya wanachama wajinga wasioelewa?

Sikuwahi kutilia shaka uwezo wa Mnyika, na hata ulipojiengua kugombea ubunge nilikupongeza na sababu zako unataka kujikita zaidi kitaifa kukijenga chama. Japo wengine walisema ni machale yako ulinusa harufu ya kushindwa kwa kishindo.

Sasa katika hili hapana, Mwenyekiti siwezi kumsemea. Yeye ni mwenye chama na hajatoa tamko lolote hadharani.

Iwe kwa kujua yanayoendelea, au kwa kuzungukwa na kufanyika kinyume nawe. Kwa heshima uliyokuwa nayo, hupaswi kuendelea kukaa ofsini.

Kujiuzulu ni chaguo sahihi ili kulinda heshima yako binafsi, kwa maana heshima ya chama tayari imeshatikiswa na haitarajiwi kurejea leo wala kesho.

Ncha Kali.
 
Mtashangaa pale mtakapo oneshwa barua ya uteuzi wa majina ya "vitu maalum" ikiwa na hati zote halali. Hii Tanzania watu wanaweza fanya yao mkabaki midomo wazi. Huu ujasiri wa kwenda kuapishwa bila Baraka za Chama, (kama ni kweli hazipo), wanautoa wapi?

Tusubiri tuone
Kama watu waliacha kutumainia Sanduku la Kura wakategemea Kura za kwenye Begi kipi kitashindikana
 
1. Kama Mnyika amezungukwa na viongozi wengine wa chama basi ajiuzulu!

2. Kama hao akina Mdee wamekula deal na Ndugai na kufanya hicho walichokifanya bila baraka za chama basi wafukuzwe uanachama na Chama kipeleke majina mengine!

*Nusrat Hanje kumbe ameachiwa ghafla ili akaapishwe,ni lazima kuna mkono wa serikali kwenye hii rafu!
 
Nakubaliana na wewe

Spika alikuwa anasema hajapokea majina ya Chadema siku zote hizi mara ghafla anawaapisha inamaanisha majina yamemfikia tayari. Spika nae sio mjinga anajua kuna legal implications akipokea majina kwa njia zisizo sahihi.

Hapa tumepigwa chekundu cheusi
 
Mengi mtayasikia lakini kiini cha haya ni pesa za uchaguzi, bwana Lisu yeye ule msaada aliufinya akatumia peke yake huku mbowe nae akazima kwa kutegemea Lisu kaja na mpunga mwingi,hapo sasa ndo bifu la kisayansi linatumika hivi sasa
 
Back
Top Bottom