Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Yeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi
Yule ndo kaja kutifua jalala. Alikuja na hela zake akawanyima wajumbe wa saccos ya UFIPA mambo waliyomfanyia Mungu anajua. Acha afaidi matunda ya hela za ushoga. Kaja kukimaliza chama. 2025 watasema nini mbele za watu. Naanza kuona mpasuko mkubwa wa CDM utakaopelekea kuanzishwa kwa CDM HALISI na saccos ya UFIPA kubaki bila wanachama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mengi mtayasikia lakini kiini cha haya ni pesa za uchaguzi, bwana Lisu yeye ule msaada aliufinya akatumia peke yake huku mbowe nae akazima kwa kutegemea Lisu kaja na mpunga mwingi,hapo sasa ndo bifu la kisayansi linatumika hivi sasa
Siyo rahisi kuja na pesa zisizoeleweka chanzo chake na kuuingiza katika siasa bila serikali kuzipiga pini.
Mnachoongea ni stori za vijiwe vya kahawa.

Haya tuambie alikuja na dola/Euro ngapi?
 
Duh...!, wajameni hata kama ni kutunga uongo, jaribuni basi, angalau uongo huo ufananie fananie na ukweli!, Jee wakiingia watu wa kitengo humu na kukutajia ndani ya CC ya Chadema nani ni nani!, kutakalika?.
Acheni hizo!.

P
Mkuu kuna siri nyingi kwenye vyama japo wenyewe wanachama hawa kubali ila sisi wa upande mwingine tunajua dhahiri nini kinaendelea hata huu ni upepo nao utapita kutakuwa kimyaaaaaa.
Achana na siasa kabisa.
 
Ninachoshukuru ni kwamba Tundu Lissu anawajua wengi, na ana option B. Binafsi hata Mbowe auze chama sitashtuka, nitashtuka labda Tundu akihama chama. Huyo tu ndo nguli aliyebaki
Leo hamumuamini mbowe tena mliyetaka kumpa uwaziri mkuu?
 
Lisu yupi Huyu aliyetoa agizo la kuandamana halafu mbio akakimbilia ubalozi wa ujerumani kujifucha ili maandamano yakianza awe safe wengine wakila virungu vya polisi yeye akila bata nyumbani kwa balozi? Huku akisubiri ndege apae zake kwenda ulaya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hapa swala sio Spika na Tume swala inakuwaje hao wanachama wenu waendee kuapishwa kama ni uongo??
Msitudanganye bwana. Inamaana hawa Viti maalumu wa chadema walitekwa mpaka bungeni.

Watanzania sio WAJINGA
Angalia drama kama hizi halafu 2025 wapigwe vibaya kwenye uchaguzi halafu wawaombe wananchi kuingia barabarani kwa maandamano yasiyo na kikomo. Kwa aibu kama hizi ni mtanzania gani mzima kichwani ataingia barabarani?
 
"Bayuda tusekanabo"Wasaliti Kama Yuda,huwa tunakula na kucheka nao,
Wasaliti chama kwa vipande thelathini vya pesa,
Wao Kama wanasiasa nguli,ilibidi wakatae kwenda bungeni,
Ila Kama vijana,na njaa ilyopo kitaa,Hawa niwachumia tumbo tu,
 
Hicho chama cha wachaga ni bure kabisa,wao wanawaza ruzuku tu.
Ulishawachangia pesa ya kuendesha chama au ni kulalama tu bila msaada?

Chma kinaendeshwa kwa pesa na sio bando la hapa JF.

Nenda pale ufadhili miaka mitano kulipia office za chama kodi hata kwa kanda moja ndo tujue una uchungu ma chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…