KANYAMA
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,514
- 2,325
Yule ndo kaja kutifua jalala. Alikuja na hela zake akawanyima wajumbe wa saccos ya UFIPA mambo waliyomfanyia Mungu anajua. Acha afaidi matunda ya hela za ushoga. Kaja kukimaliza chama. 2025 watasema nini mbele za watu. Naanza kuona mpasuko mkubwa wa CDM utakaopelekea kuanzishwa kwa CDM HALISI na saccos ya UFIPA kubaki bila wanachamaYeyote aliyehusika katika uhuni huu ni msaliti!
Lissu amepambana kwa jasho kubwa, kapiga kampeni kila kila kanda, kaungua na jua, kawapambania wananchi na chama chake, at the end wamemsaliti na kusaliti wananchi