Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Mnyika kadata au?

Ofisi ya spika yupi?
 
Hatua gani? Hatua ilipaswa ianze na Aida kama chama kinaheshimu principles zake.

Hapa ni muda wa kujitafakari kama Chama na kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa Nchi na Chama. Ni muda wa Viongozi kuonyesha uongozi. Mbowe somehow anayumba sasa
 
Kina mdee wana baraka za mwenyekiti mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…