Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Kigogo alisema yote haya na esta na mdee wakawa wakali
.
4568890.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”



Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera Chadema kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
Mnyika kadata au?

Ofisi ya spika yupi?
 
Hatua gani? Hatua ilipaswa ianze na Aida kama chama kinaheshimu principles zake.

Hapa ni muda wa kujitafakari kama Chama na kufanya maamuzi yenye maslahi mapana kwa Nchi na Chama. Ni muda wa Viongozi kuonyesha uongozi. Mbowe somehow anayumba sasa
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”



Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
Kina mdee wana baraka za mwenyekiti mbowe
 
Back
Top Bottom