Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Mtashangaa pale mtakapo oneshwa barua ya uteuzi wa majina ya "vitu maalum" ikiwa na hati zote halali. Hii Tanzania watu wanaweza fanya yao mkabaki midomo wazi. Huu ujasiri wa kwenda kuapishwa bila Baraka za Chama, (kama ni kweli hazipo), wanautoa wapi?

Tusubiri tuone
 
Wanaoshabikia kufukuzwa kwa akina mdee ni wapuuzi kama Tundu Lissu wao
 
Hii mivyama mnahangaika nayo kila siku nikupoteza muda,yaani ndani ya taasisi kila mtu msemaji,nadhani wale wanaojiona wanajua sana siasa na kupambana na hivi vyama wataelewa kuwa wanasiasa wa Tz ni wachumia tumbo wote


Haya sasa wameenda......
 
Kwa sababu wamemwaga mboga na Halmashauri imwage ugali
Halmashauri ikae iteue Majina 19 viti maalumu ipelekeTume ya uchaguzi na iseme hatuutambui uteuzi wa Akina mdee
 
Ni ujinga kugomea viti hivyo kwani ukisusa itasaidia nini?

Mimi nawaunga mkono sana.Chadema acheni msimamo isiyo na tija.
 
SPIKA na genge lake hawashindwi kitu, kama walimuapisha Mwambe ndio washindwe kuvunja KATIBA ?
 
Inacho Uma Mwenyekiti Amekaa Kimya Sana Kwenye Ili Swala Sijui Ana Maana Gani Na Niswala Kubwa Na Gumu Lakini Yuko Kmy Au ndio lile Biti alilopigwa Na Mdee Kua Atatoboa Siri Za Ndani so sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…