OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #41
Unasubiri wakati imesha happen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasubiri wakati imesha happen
HIVI JOHN MNYIKA YEYE HAJAENDA KUISHI UBELIGIJI??Hapa ndio unapomkubali Kigogo
Mtashangaa pale mtakapo oneshwa barua ya uteuzi wa majina ya "vitu maalum" ikiwa na hati zote halali. Hii Tanzania watu wanaweza fanya yao mkabaki midomo wazi. Huu ujasiri wa kwenda kuapishwa bila Baraka za Chama, (kama ni kweli hazipo), wanautoa wapi?Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema kuwa chama hicho hakijateua wabunge wa viti maalum na hivyo hakuna orodha iliyopelekwa Tume ya Taifa ha Uchaguzi (NEC). Mnyika amesema kuwa wanafuatilia kinachojiri na wakithibitisha hujuma au usaliti hawatosita kuchuk
Baraza la mawaziri kweli limetangazwa na hao wamo??unasubiri wakati imesha happen
Kama waliufyata kwa Kenani hao pia yatapita!
Umeniwahi kumtaja kigogo katika hili. Umesema kweli. Nakumbuka kigogo aliwataja hawa akina mdee na bulaya juu yaswala hili hafu wao wakamjia juu.Hapa ndio unapomkubali Kigogo
ndio wamo,watakuwa manaibuBaraza la mawaziri kweli limetangazwa na hao wamo??
Wanaoshabikia kufukuzwa kwa akina mdee ni wapuuzi kama Tundu Lissu waoKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
Wewe ndo.utachukuliwa hatua na sio hao.Wawachukulie hatua kali kweli wajimalize vizuri. [emoji23][emoji23]
Sasa si mdau wao anataka wachukuliwe hatua.W
Wewe ndo.utachukuliwa hatua na sio hao.
Kwa sababu wamemwaga mboga na Halmashauri imwage ugaliKatibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.
SPIKA na genge lake hawashindwi kitu, kama walimuapisha Mwambe ndio washindwe kuvunja KATIBA ?Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Halima Madee na Ester Bulaya kujifanya makamanda kumbe makamanda njaa tu. Hongera CHADEMA kwa msimamo usioyumba. Kesho Kamati Kuu ikae kufukuza wote hao.