Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

Sijui EU wataficha wapi misura yao.Walitaka Tanzania 🇹🇿 imwage damu.Sasa waje kujifunza siasa Tanzania 🇹🇿 na pia wajifunze kupambana na kaugonjwa ka Corona kalikowashinda
 
Kwa hili walilofanya chadema wasitegemee kwamba litapita hii ni muvi tu
 
Akumbuke anahitaji posho hapo ofisini kwenye nafasi yake ya ukatibu mkuu.
Na posho inatolewa na hao wabunge kwenye michango yao kwa Chama.
 
Nimecheka sana hahahaha, chezea kukosa ajira hahahaha alafu njaa iko kichwani lazima mkae hahahaha
Kweli hakuna mkate ngumu mbele ya chai. Lazima tukubali CCM wanajua kupigana Vita. Hakuna ataewaamini wapinzani tena. Kama ilivyotabiriwa CDM lazima ife.
 
Halafu CDM Bora bawacha wanaushirikiano wanaume humu ni keyboard warriors Ila nje ni waoga angalia wanaume waliosaliti wananchi, kulinganisha na wanawake ambao hawakukata tamaa
Kweli kbs. Wanaume wengi wa CDM hawajielewi sabab ya kutangulia kunywa gongo kabla ya kutoa maamuzi
 
Mnyika!!!!
Punguza kufanya kazi na mitandao na vyombo vya habari..
Mambo mengine ni ya ndani..
Waacheni wamama waende bungeni kukiwakilisha chama na wananchi. Tunajua hujuma mlizo fanyiwa ila uwakilishi ni muhimu. Mkicheza mnakwenda kuwa kama CUF na Nccr
 
Maamuzi yametoka Kwa Mwenyekiti full stop
Kuna mchezo unaigizwa hapa,na Hata kama mnyika hajui, Mwenyekiti kashafanya maamuzi kuokoa chama kisife Imepita hyo
 
Hao pia Magufuli atawambia mimi ndio nimewaleta hapa bungeni dhidi ya matakwa ya chama chenu hivyo mniunge mkono ✋.

Hao ni wabunge wa viti maalum wa Magufuli, anawatumia kuhalalisha uhuni alioufanya majuzi. Very poor excuse for a leader.
 
Mtakapowafukuza tu Wanaenda CCM.
Acheni wivu,hivyo viti vya wamama mbona kuwazibia rizki?
Wangekuwa akina mbowe na huyo mnyika wamevipata wangeviacha???
Hovyo kabisa
 
Watafukuzwa uanachama ili kukijengea chama uaminifu kwa wananchi. Vinginevyo tofauti na hili CHADEMA ndo kimekufa rasmi.
Walifukuzwa wangapi na bado wakabaki BUNGENI ? wakina LIJUALIKALI umeasahau ilivyokua?
 
Kuna watu humu wafia vyama wanashupaza shingo na kugombana na watu wenye mitizamo tofauti ,lkn nadhani mpaka sasa mnalakujifunza ,wanasiasa siku zote wapo after money.
 
Kweli kbs. Wanaume wengi wa CDM hawajielewi sabab ya kutangulia kunywa gongo kabla ya kutoa maamuzi
Uko sahihi hawafikirii future kabisa sasa ukishasusa unafaidika nini Toka lini fisi akasusiwa bucha
 
Mtakapowafukuza tu Wanaenda CCM.
Acheni wivu,hivyo viti vya wamama mbona kuwazibia rizki?
Wangekuwa akina mbowe na huyo mnyika wamevipata wangeviacha???
Hovyo kabisa
Wanaume Wana wivu Sasa mbona kina Mbowe, lissu, mnyika walienda chini ya tume ya ccm
 
Wanaume Wana wivu Sasa mbona kina Mbowe, lissu, mnyika walienda chini ya tume ya ccm
Wajinga Sana hawa kina mnyika..
Wanahangaika na viti vya kina mama utadhani vinawahusu..
Wanataka wakose wote.
 
Lisu tulimuonya kwamba yeye na Amsterdam wake wataachwa midomo wazi akijifanya anapaisha hadi ndege bila kibali
 
Halmashauri nayo inataka ruzuku toka serikalini.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzanian politics inahitaji watu sio viongozi
Bobby wine wa Uganda amekamatwa muda huo huo maandamano na watu zaidi ya 30 wakafa
Halima mdee alikaa jela na kuteswa sana hatukyfanya kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…